Você procurou por: anatumia (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

anatumia

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

tymoshenko anatumia muda wake wa siku kujisomea.

Inglês

tymoshenko spends her days reading.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwenye nyimbo zake nyingi anatumia jina läle.

Inglês

in many of his songs he uses the name läle.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika bigdogdotcom, mwandishi anasikitishwa na kwamba zaid anatumia kesi hii kupata faida kwenye siasa na kwenye vyombo vya habari

Inglês

at bigdogdotcom, the writer is disappointed that zaid is using the case to gain political and media mileage

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mfaranza henri michel, ambaye anatumia mbinu za kuheshimika, amefurahia ushindi mkubwa katika kilele cha mchezo huu.

Inglês

frenchman henri michel, a reputed tactician has enjoyed great success at the game’s pinnacle.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

blogu ya vuilblog anatumia dhihaka dhidi ya wafuasi wa malema kwa kutumia picha ya malema, ikiwa na maandishi yafuatayo:

Inglês

vuilblog takes a satirical approach against malema's followers with a picture of malema, which has the following text:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

anasema alikuwa anazungumza katika “mazingira ya hasira”, hiyo ikimaanisha kwamba hakuwa anatumia kichwa chake.

Inglês

he claims he was speaking in a “charged environment”, implying that he wasn’t using his head.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

pengine mke wa mfalme wa jordan abdullah wa pili, si mtu maarufu pekee ambaye anatumia chombo cha youtube, ambacho kinaangaliwa na mamilioni ya watu.

Inglês

perhaps the wife of jordan's king abdullah the second, is not the only public figure who uses youtube, that’s being watched by millions of people.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

aécio neves amefungua mashtaka dhidi ya mtandao wa twita kudai taarifa za watumiaji 66 ziwekwe wazi; hivi sasa wanablogu wanadai anatumia anuani bandia kujaribu kupambana na wapinzani wake kwenye mtandao wa youtube.

Inglês

aécio neves has filed suit against twitter demanding it discloses information on 66 users; now bloggers claim he's using fake accounts to deal with negative youtube videos.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwanaume aliyemteka -aliyeshindwa kupata ruhusa ya baba wa binti huyo ili aweze kumwoa -anatumia utekaji kama njia ya kulazimisha ndoa na msichana huyo kwa mujibu wa mila inayofahamika kama telefa nchini ethiopia.

Inglês

her captor — who failed to get her father's permission to marry her — insists he now has the right to marry her according to a tradition known as telefa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kumshitaki raia mwema kwasababu tu anatumia jina ambalo kwa umbali ni sawa tu na lile litumikalo na kampuni kubwa ya kimataifa, kwa kweli ni kituko nafikiri bado goliath yuko sahihi hapa – kwasababu mfumo wa sheria kwa kiasi kikubwa upo kwa matakwa ya goliati.

Inglês

actually it is bizarre if an innocent citizen uses a name which remotely is the same as the one of a multinational, in a strictly personal context, is being sued for that reason only. yet i'm afraid goliath has a point here - because the legal system is to a large extent the product of the interests of the goliaths.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

anapata laki sita hadi saba kwa mwaka kutoka kwenye korosho na laki nne kutoka ufuta jumla ni milioni kwa mwaka ambayo ni sawa na 83333.3/= kwa mwezi na anatumia 5000/= kwa siku ambayo ni sawa na 150000/= kwa mwezi

Inglês

he gets six to seven thousand a year from cashew nuts and four thousand from sesame total is a million a year which equals 83333.3 / = per month and he uses 5000 / = a day which equals 150000 / = a month

Última atualização: 2020-01-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,736,320,297 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK