Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
sasa, mnaweza kusikia na kujionea wenyewe mambo paulo anayofanya, si tu hapa efeso, ila pia kote katika asia. yeye amewashawishi na kuwageuza watu wakakubali kwamba miungu ile iliyotengenezwa na watu si miungu hata kidogo.
moreover ye see and hear, that not alone at ephesus, but almost throughout all asia, this paul hath persuaded and turned away much people, saying that they be no gods, which are made with hands:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi, nitakapokuja nitayafichua mambo yote anayofanya, maneno mabaya anayotutolea na uongo anaosema juu yetu. isitoshe, yeye hukataa kuwakaribisha hao ndugu walio safarini, na hata huwazuia watu wengine wanaotaka kuwakaribisha, na hujaribu kuwafukuzia nje ya kanisa.
wherefore, if i come, i will remember his deeds which he doeth, prating against us with malicious words: and not content therewith, neither doth he himself receive the brethren, and forbiddeth them that would, and casteth them out of the church.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade: