Você procurou por: bandari (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

bandari

Inglês

port

Última atualização: 2013-09-18
Frequência de uso: 2
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

bandari asilia

Inglês

harbour

Última atualização: 2011-07-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

stesheni ya gari la moshi nyingi na bandari ya kivuko zimefungwa pia.

Inglês

several train stations and ferry ports have also been closed.

Última atualização: 2023-09-22
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo "bandari nzuri", karibu na mji wa lasea.

Inglês

and, hardly passing it, came unto a place which is called the fair havens; nigh whereunto was the city of lasea.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

hali ni hiyo hiyo nchini madagaska, ambako mashua kutoka liberia ikidaiwa kubeba watu wenye virusi vya ebola hivi karibuni ilitua kwenye bandari ya toamasina.

Inglês

this is the case for madagascar, where a boat from liberia suspected of carrying the ebola virus docked recently in the port of toamasina.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

huko concepcion, rais alieleza kwamba hatua za muhimu zilikuwa zimekwishaanza kuchukuliwa ili kujenga upaya madaraja, barabara, bandari na viwanja vya ndege.

Inglês

in concepcion, he explained that the necessary measures to reconstruct bridges, roads, ports, and airports were already underway.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

huu ni mji wa pwani na bandari jimboni patagonia wenye miamba, ndege wakubwa na utajiri wa viumbe na mfululizo wa safari za pwani unaokufikisha kwenye eneo linalofahamika vizuri zaidi la ria.

Inglês

this is a coastal and port city in the patagonia with cliffs, a large amount of biodiversity with birds and mammals and a series of coastal tours that takes us to the very well known ria.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

kuhusu tatizo la mafuta, mwanahabari richard chirombo alijaribu kuliweka tatizo katika muktadha wa kihistoria na kuonyesha kuwa shehena ya malawi ilikwama huko msumbiji kutokana na kupungua kwa matumizi ya bandari ya beira.

Inglês

on fuel crisis, journalist richard chirombo tried to put the situation into historical perspective by pointing out that malawi cargo was stuck in mozambique due to a decline in the use of the beira port.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

tulipanda meli ya adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa za mkoa wa asia, tukaanza safari. aristarko, mwenyeji wa makedonia kutoka thesalonika, alikuwa pamoja nasi.

Inglês

and entering into a ship of adramyttium, we launched, meaning to sail by the coasts of asia; one aristarchus, a macedonian of thessalonica, being with us.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

taarifa kutoka kwa cornelder de mozambique, kampuni ambayo ilipata zabuni kutoka kwa serikali ya msumbiji mwaka 1998 ya kuendesha bandari hiyo, zinaonyesha kupungua kwa kasi kubwa katika matumizi ya waagizaji na wasafirishaji kwenda nje wa malawi kwenye bandari hiyo.

Inglês

a report from cornelder de mozambique, the company that won a 25 year-long concession from the government of mozambique in 1998 to run the port, points to a sharp decline in the use of the port by malawian exporters and importers.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

tukiwa tunaelekea kwenye bandari ya veracruz, tulisimama mjini yanga ambapo tuliona mashamba ya kilimo yaliyosheheni caña pamoja na mahindi kila mahali, pia yalionekana mashamba makubwa ya kahawa; hali ya hewa ya kitropiki inakufanya uendelee kukaa nje ili kuliota jua.

Inglês

on our way to the port of veracruz, we stopped at yanga and saw the agricultural fields full of caña and corn surrounding the area, also rich in coffee plantations; the tropical weather invites you to be outside, under the sun's open arms.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

machi 18, 2014, siku mbili baada ya wa-crimea kupga kura ya maoni kuamua kujiunga na shirikisho la urusi, rais vladimir putin alitoa hotuba akitangaza kuwa ameipokea crimea na mji wa bandari ya sevastopol kuwa wanachama wapya wa shirikisho hilo.

Inglês

on march 18, 2014, two days after crimeans voted in a referendum to join the russian federation, president vladimir putin gave a speech in which he announced that he would bring crimea and the port city of sevastopol into the fold as two new federation members.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Consiga uma tradução melhor através
7,763,050,638 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK