Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
baraka za mungu
the blessings of the line
Última atualização: 2020-12-20
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mkuu mbele za bwana
swahili
Última atualização: 2022-03-13
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
usipitwe na baraka za leo
do not be blessed with blessings
Última atualização: 2020-06-23
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mwenyezi mungu amjalie baraka za kupona haraka.
may allah bless him with fast recovery.
Última atualização: 2023-07-11
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
sio mbali sana inaweza hata isifike 2030 tayari nikawa nishaoa maana hii mipango inaenda na baraka za mwenyezi mungu
Última atualização: 2020-11-14
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa hiyo, kristo ndiye aliyeratibisha agano jipya ili wale walioitwa na mungu wazipokee baraka za milele walizoahidiwa. watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.
and for this cause he is the mediator of the new testament, that by means of death, for the redemption of the transgressions that were under the first testament, they which are called might receive the promise of eternal inheritance.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
siri yenyewe ni hii: kwa njia ya habari njema watu wa mataifa mengine wanapata sehemu yao pamoja na wayahudi katika zile baraka za mungu; wao ni viungo vya mwili uleule, na wanashiriki ahadi ileile aliyofanya mungu kwa njia ya kristo yesu.
that the gentiles should be fellowheirs, and of the same body, and partakers of his promise in christ by the gospel:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
akasema, "mdanganyifu wa kupindukia na mlaghai wewe! wewe ni mtoto wa ibilisi! wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha njia za bwana zilizonyoka.
and said, o full of all subtilty and all mischief, thou child of the devil, thou enemy of all righteousness, wilt thou not cease to pervert the right ways of the lord?
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
hassan belal zaidi (@mightyobvious_), mshauri wa vyombo vya habari," anguka kutoa baraka" za kura za watu wa pakistan . katika makala hii, zaidi aliandika:
hassan belal zaidi (@mightyobvious_), a media consultant, penned a post titled "fall to grace" for pak votes. in his post, zaidi wrote:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível