Você procurou por: haijawahi (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

haijawahi

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

somalia haijawahi kuwa na serikali kuu inayotawala nchi nzima tangu kuanguka kwa muhammad siad barre mwaka 1991.

Inglês

somalia has not had a central government controlling the entire country since the fall of muhammad siad barre in 1991.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hoja ilikuwa kwamba hija haijawahi kufutwa kwa minajili tu ya kiafya na kwamba kufanya hivyo kungekuwa kuukiuka uislamu.

Inglês

the argument was that haj had never been canceled on public health grounds and that to do so would be counter to islam.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

haijawahi kutokea hapo kabla kwamba watu wengi kiasi hicho wametishwa au kutupwa gerezani kwa sababu ya maneno wanayoandika kwenye mtandao.

Inglês

never before have so many people been threatened or imprisoned for what the words they write on the internet.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

japokuwa adhabu ya kifo imekuwa ikitolewa kwa ajili ya makosa hadi kufikia mwaka 2003, togo haijawahi kuitekeleza adhabu hiyo tangu mwaka 1978.

Inglês

although death sentences have been given for crimes as recently as 2003, togo has not carried out an execution since 1978.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

haijawahi kutokea katika historia ya uchaguzi mkuu katika nchi yetu kutokea uchaguzi kutawaliwa na tashasha za mtu fulani badala ya tafakuri au maono ya chama kwa ajili ya nchi.

Inglês

never before in the history of general elections in our country has so much been hinged on the persona of a man instead of on the ideals or vision of the party for the country.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

vyovyote iwavyo; jambo moja ni la hakika na lenye umuhimu; kamwe haijawahi kutokea video ya dakika 27 isiyo na upuuzi na ujinga kusambaa namna hii.

Inglês

whatevers; one thing's for sure, this is momentous: never had a 27-minute video devoid of both cats and boobs ever achieved such virality.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

tumejua kuwa nasi pia tunatengeneza sehemu nyingine ya historia nchini singapore kwa kuwa haikuwa kutokea mtu akahamasisha tukio la siku ya wafanyakazi kutokea chini kabisa -haijawahi kutokea na tunajisikia fahari kufanya hivyo kwa mara ya kwanza!

Inglês

we realised that we are also creating another piece of history in singapore here as so far no one has managed to organise a labour day event from the ground up – ever and we are proud to be able to do so for the first time!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

alikuwa ni mwajiri wa zamani wa ghanem, la voix de l'oranie (sauti oran), gazeti la kila siku linalofahamika kwa tahariri zenye mrengo wa kuipamba serikali, ndilo lililomshitaki kwa katuni yake hiyo ambayo hata hivyo haijawahi kuchapishwa kwenye vyombo vya habari.

Inglês

it was ghanem's former employer, la voix de l'oranie (voice of oran), a daily newspaper known for its pro-regime editorial line, who sued him for the cartoon which was never published in the media.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,740,096,102 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK