Pergunte ao Google

Você procurou por: imani katika udugu (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

udugu katika uchaji wenu, na mapendo katika udugu wenu.

Inglês

And to godliness brotherly kindness; and to brotherly kindness charity.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Basi, katika kuungana na Kristo, na kwa njia ya imani katika Kristo, sisi tunathubutu kumkaribia Mungu kwa uhodari.

Inglês

In whom we have boldness and access with confidence by the faith of him.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Akiandika kwa Kiarabu, mwanablogu wa Kisudani Ayman Hajj anajadili siasa za nchi yake na kwa nini watu wengi wa Sudani wanapoteza imani katika umoja.

Inglês

Writing in Arabic, Sudanese blogger Ayman Hajj discusses his country's politics and why many Sudanese people are losing faith in unity.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Na ina maana kwamba tunapaswa kuwa na imani katika Mahakimu wa Syariah – ni lazima walizingatia mazingira yote kabla ya kutoa ridhaa.

Inglês

That means we should have confidence in our Syariah Judges - they must have taken into account all circumstances before granting consent.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Jina la Yesu na imani katika jina hilo ndivyo vilivyompa nguvu mtu huyu mnayemwona na kumfahamu. Imani kwa Yesu ndiyo iliyomponya kabisa mtu huyu kama mnavyoona nyote.

Inglês

And his name through faith in his name hath made this man strong, whom ye see and know: yea, the faith which is by him hath given him this perfect soundness in the presence of you all.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

na sasa naishi, lakini si mimi tena, bali Kristo anaishi ndani yangu. Maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani katika Mwana wa Mungu aliyenipenda hata akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.

Inglês

I am crucified with Christ: nevertheless I live; yet not I, but Christ liveth in me: and the life which I now live in the flesh I live by the faith of the Son of God, who loved me, and gave himself for me.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Tarehe 5 Februari, baraza la mawaziri la Tymoshenko lilinusurika kuondolewa baada ya kura ya kutokowa na imani katika bunge: waliopendekeza kura hiyo walishinda kwa kura 203 katika bunge la viti 450; kura 226 zinahitajika ili muswada upite.

Inglês

On Feb. 5, Tymoshenko's cabinet survived a no-confidence vote in parliament: the motion won 203 votes in the 450-seat assembly; a minimum of 226 votes is required for a motion to pass.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Siku hiyo, rangi ya ngozi yako, jinsia, utambulisho wa kijinsia, itikadi za kidini na kisiasa, hali ya kimapenzi, asili ya utaifa, ulemavu natofauti nyinginezo hazitakuwa na maana yoyote, maana kile tunachofanya ni imani katika usawa wa namna zote za mapenzi, utengenezaji wa familia, kuzaliana, kujitoa...namna zote ya KUWA WAZALENDO.

Inglês

On this date, the color of your skin, gender, gender identity, religious or political beliefs, sexual orientation, national origin, disabilities nor any other distinction do not matter, but what does is the faith in equality of all forms of love, forming a family, reproducing, being committed... all forms of BEING PATRIOTIC.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
4,401,923,520 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK