Você procurou por: kukejeli (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

kukejeli

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

watu muache kufanya mahitimisho hapa na kuilaani na kukejeli sheria yetu.

Inglês

people mustn't make conclusions here and insult and act pathetic towards our law.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

watu wengi wa misri walitumia mwanya huu kukejeli mapinduzi yao wenyewe, kama gepril thuwaiba anavyotwiti:

Inglês

many egyptians used the opportunity to joke about their own revolution, like gepril thuwaiba who tweets:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

pamoja na kuwa ni vigumu kusema kama ni ukweli au sio mkweli, maoni ya kukejeli na matumizi ya lugha chafu ni kawaida sana katika kurasa za facebook nchini myanmar.

Inglês

although it is hard to say whether it is true or not, hate comments using vulgar language are very common on facebook in myanmar.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

sisi vijana wa rfd, tumesikia kauli ya balozi wa marekani nchini mauritania, iliyotolewa katika vuguvugu la februari 25 ambapo alionekana kuunga mkono utawala wa kijeshi unaowanyanyasa watu wetu na kukejeli upinzani huku kumshambulia waziwazi kiongozi wetu ahmed ould dadah.

Inglês

we at rfd youth, heard a statement by us ambassador in mauritania, made public by february 25 movement in which she backs the military regime which is oppressing our people and mocks the opposition and slams its leader ahmed ould dadah directly.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika namna ya kukejeli, yeah that too alishirikisha maneno machache, ammar kwa upande wake aliandika kuhusu namna ‘mpambano mpya wa manyau’ unavyokaribia kuanza, chowrangi anazungumizia mustakabali wa nchi ya pakistani baada ya musharraf, psychotic discourses anatupatia mwanga juu ya muundo mpya wa ‘utawala wa kishetani’ (demon-cracy), wakati ambapo mb anatuchanganya zaidi kwa kuzungumizia hali hii kama moja ya mizunguko ya kisarakasi.

Inglês

sarcastically yeah that too had a few words to share, ammar wrote about how the new 'cat fight' is now about to begin, chowrangi talks about pakistan's future after musharraf, psychotic discourses sheds light on the new form of demon-cracy, mb confuses us with the talk about circle of circuses.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,740,188,720 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK