Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa na watu: mwalimu.
and greetings in the markets, and to be called of men, rabbi, rabbi.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"ole wenu ninyi mafarisayo, kwa sababu mnapenda kuketi mbele mahali pa heshima katika masunagogi, na kusalimiwa kwa heshima hadharani.
woe unto you, pharisees! for ye love the uppermost seats in the synagogues, and greetings in the markets.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
"jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamevalia kanzu. hupenda kusalimiwa na watu kwa heshima masokoni, huketi mahali pa heshima katika masunagogi na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
beware of the scribes, which desire to walk in long robes, and love greetings in the markets, and the highest seats in the synagogues, and the chief rooms at feasts;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
katika mafundisho yake, yesu alisema, "jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,
and he said unto them in his doctrine, beware of the scribes, which love to go in long clothing, and love salutations in the marketplaces,
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível