Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
furahia likizo yako
have a safe flight
Última atualização: 2022-04-27
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kuwa na likizo kubwa
enjoy
Última atualização: 2024-01-13
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ninaenda mapumzikono, sina likizo.
i am going for a retreat, i am not on holiday.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
anarudi while likizo imeisha
he returns to the
Última atualização: 2022-09-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
upinzani unaweza kuchukua likizo.
the opposition can take a vacation.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
barua ya kirafiki kuhusu likizo
friendly letter about holidays
Última atualização: 2018-04-10
Frequência de uso: 3
Qualidade:
Referência:
maombi ya likizo kuanzia mwaka 2020 na mwaka 2021
holidays from 2020 to 2021
Última atualização: 2023-06-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hajapata hata likizo ya wiki moja kutoka gerezani kuja nyumbani ...
he had not got even one week vacation out of prison to come home...
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
tafsiri barua ya kirafiki kuhusu likizo yako katika swahili
translate a friendly letter about your holiday in swahili
Última atualização: 2023-10-05
Frequência de uso: 3
Qualidade:
Referência:
familia familia yako na nitakutembelea katika likizo ya muda wa pili.
great your family and i will come to visit you in holidays of second term.
Última atualização: 2018-04-14
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
habari za kifo cha sihanouk zilianza kusambaa wakati wa likizo ndefu ya sherehe ya pchum ben.
the news of sihanouk's death broke out during the long holiday of pchum ben festival.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kufikia tarehe 6 aprili, muda wa likizo ulisongezwa katika shule zote za upili nchini turkmenistani.
until april 6, holidays were extended in all secondary schools of turkmenistan.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
naomba kumbusha kwenye sheet ya likizo majina yetu hayapo nilikuwa napenda kufahamau kama sisi pia tunauwezo wa kupata likizo
to ask for leave for medical treatment
Última atualização: 2023-10-02
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hatutangazi likizo - ikiwa unaweza kufanya kazi kwa saa zaidi za kawaida, misheni yetu inaweza kukutumia.
we’re not declaring a holiday - if you are able to work more normal hours, the mission can use you.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa hiyo kama kutaki kuja kuchanganyikiwa baada ya kumaliza likizo yako na unataka kuwa makini zaidi na taarifa zako, soma kwa makini.
so, if you don't want post-holiday stress to be more serious for problems with your information, read carefully.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kijana mmoja anayetumikia jeshi kama askari polisi aliamua kutorudi kwenye kikosi alichokuwa akifanya kazi baada ya likizo na alipeleka taarifa kuwa dhamiri yake ilikuwa ikimshtaki.
a young man who is serving his military service as police decided not to go back to his military unit after vacation and announced the declaration of conscience.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
alipatwa na homa kali kiasi cha kushindwa kumhudumia binti yao mchanga, lakini mumewe alikataa katakata kuchukua likizo yenye malipo na alikataa pia kurejea nyumbani mapema kuliko ilivyo kawaida.
she fell sick with a high fever and wasn't in a state to take care of their baby girl but her husband refused to take paid leave or come home earlier than usual.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
katika mikoa 24 ya 31 ya uchina, munispaa na maeneo, mamlaka ziliongeza likizo ya mwaka mpya hadi 10 februari, na kuagiza sehemu za kazi nyingi wasifungue hadi siku hiyo.
in 24 of china's 31 provinces, municipalities and regions, authorities extended the new year's holiday to 10 february, instructing most workplaces not to re-open until that date.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ni wazi, habari hizo za siri hazikufunua vyema yanayoendelea kuhusu afya ya rais huku maafisa waandamizi wa serikli kuanzia makamu wa rais na mawaziri wakitoa matamko ya aina aina kuanzia madai kwamba rais yuko kwenye likizo yake ya malipo hadi madai ya kwamba alikuwa anatafuta fursa za kiuwekezaji na kukutana na rais wa nchi hiyo shimon perez.
obviously, the expose did not go down very well with government whose senior officials at the level of vice president and ministers issued all manner of statements ranging from the president being on a working holiday to wooing investors and meeting that country’s president shimon perez.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
domain.com, eneo la makazi, iliripoti kwamba baadhi ya wauzaji wa mali walitoa karatasi shashi kwa dalali wa kwanza katika mnanda kule melbourne, wakati minada michache ilifanywa kwa sababu ya wanunuzi kupata likizo kutokana na wikendi mrefu wa siku ya leba.
domain.com, a real estate site, reported some property sellers offering free toilet paper to the first bidder on auctions in melbourne, when fewer auctions were held because of buyers having time off on the long weekend of labour day.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: