Você procurou por: lini asafiri ya kenya (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

lini asafiri ya kenya

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

nchi yetu ya kenya

Inglês

our country of kenya

Última atualização: 2024-05-21
Frequência de uso: 3
Qualidade:

Suaíli

orodha ya makabila ya kenya

Inglês

demographics of kenya

Última atualização: 2015-02-09
Frequência de uso: 8
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

sarafu ya fedha katika kenya ni shilingi ya kenya

Inglês

the money currency in kenya is kenyan shilling

Última atualização: 2023-12-29
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

hata hivyo ninashangazwa sana na msimamo wa serikali ya kenya.

Inglês

however what i am particularly bewildered with is the stand-point of the kenyan government.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

kocha mfaransa ateuliwa kuongeza bahati ya kenya kwenye kandanda

Inglês

french coach appointed to change kenyan football fortunes · global voices

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

ingawaje kuna viongozi wapya fkf, matumaini ya kenya ni madogo.

Inglês

despite the newly elected football kenya federation, fkf, there is no respite in sight for kenyan soccer.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

kwa michelline ntara serikali ya kenya isaidie kambi za wakimbizi zilizoko kenya:

Inglês

for michelline ntara kenya government should help refugee camps in kenya:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

2.kubuni mkondo wa utafutaji masoko kupitia mtandao unaowezekana kwa ajili ya makampuni ya kenya

Inglês

2.create viable online marketing channel for the kenyan companies

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

lakini vyanzo vingine ndani ya polisi ya kenya vilianza kugundua kuwa walichokuwa wakipambana nacho ni zaidi ya ujambazi wa kutumia silaha.

Inglês

but other sources within the kenyan police started to realize that what they were confronting was more than an armed robbery.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

mafunzo ya kijeshi yanayofanyika katika makambi ya wakimbizi wa kisomali huko dadaab, kaskazini mashariki ya kenya yamechochea kelele zinazochanganya wengi ndani na nje ya eneo.

Inglês

the recruitment taking place in the somali refugee camps in dadaab, northeastern kenya has stirred some controversial outbursts by many in and outside the region.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

alieleza kuhusu uhusiano wake na jumuiya ya sauti za dunia na jinsi teknolojia ya kenya inavyozidi kuwa ya ubunifu, hasa katika sekta ya vifaa vya mkononi kama simu.

Inglês

he explained his connection with global voices and how kenyan technology continues to innovate, particularly in the area of mobile.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

mlipuko ulitokea katika ukumbi wa starehe mnano juni 24 na kuwauwa watu watatu, siku moja baada ya ubalozi wa marekani kuionya mamlaka ya kenya kuhusu uwezekano wa mashambulizi jijini humo.

Inglês

a blast hit a nightclub on 24 june killing 3 people, just a day after the us embassy warned kenyan authorities of an imminent attack in the city.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

namna nyingine ya mtazamo huu ilisikika katika uchambuzi wa tovuti ya somalia newsroom, ilisema kwamba shambulio la westgate lilikuwa ni shambuli la kisasi lisilokwepeka kufuatia operesheni ya kenya inayoendelea somalia.

Inglês

a version of this perspective was echoed in the analysis from the website somalia newsroom, which argued that the westgate attack was inevitable blowback from kenya's continued operations in somalia.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

serikali ya somalia inayoungwa mkono na umoja wa mataifa imewaandikisha zadi ya vijana 170 wa kikenya na wanamgambo wa zamani ili wakasaidie kupigana na waasi katika nchi iliyoshindwa ya pembe ya afrika, viongozi walio katika maeneo ya mashariki ya kenya wamesema.

Inglês

somalia's u.n.-backed government has recruited more than 170 young kenyans and former servicemen to help it fight rebels in the failed horn of africa state, local leaders in eastern kenya said.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

uteuzi wake umefuatia mfululizo wa matokea mabaya na baada ya timu ya kenya kukosa nafasi ya kushiriki mashindano ya kombe la mataifa ya africa (acn) mara mbili mfululizo na pia kushindwa kufika kwenye fainali za mashindano ya kandanda na katika ukanda wa afrika mshariki na kati.

Inglês

after a string of bad results from the national team and missing out on two consecutive africa cup of nations, as well as failing to reach the finals of regional football tournaments, fkf officials are feeling the pressure to find a way to get results.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

dira ya kenya 2030 inalenga kuhakikisha wakenya wote wanapata maisha bora katika nchi mpya iliyoendelea kiviwanda na hali ya juu ya uchumi wa kipato cha kati. kenya imefikia hali ya chini ya uchumi wa kipato cha kati, na kuiwezesha kufikia hatua, hasa wakati manufaa ya kiuchumi ya miundombinu muhimu iliyowekwa katika muongo mmoja uliopita yanazaa matunda.

Inglês

the kenya vision 2030 aims to ensure all kenyans achieve a high quality of life in a newly industrialised country with a higher middle income economic status. kenya has realised a lower middle income economic status, enabling it to reach the take off stage, especially when the economic benefits of the significant infrastructural facilities laid down in the past decade bear fruits.

Última atualização: 2022-02-02
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

i paid a bribe' imefuatia muundo wa 'india anti-corruption portal (ipab)' na ni ushirkiano kati ya ipab na wamani trust ya kenya ili kuleta ipab katika afrika mashariki na kati.

Inglês

i paid a bribe, modeled after india's anti-corruption portal (ipab), is a partnership between ipab and wamani trust of kenya to bring ipab to east and central africa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

(kama pernille anavyoeleza, uchaguzi ni msukumo wa pamoja kati ya tacceo, tanzania; hivos, uholanzi; hakielimu, tanzania; jumuiya kubwa zaidi ya teknohama nchini tanzania - jamii forums, tanzania; twaweza ya rakesh rajani, creco ya kenya kwa kushirikiana na ushahidi na sodnet za kenya zote kama washirika wa kimkakati katika teknolojia.

Inglês

(as pernille points out, uchaguzi is a collaborative initiative between tacceo, tanzania; hivos, netherlands; haki elimu , tanzania; the biggest tz national ict community jamii forums, tanzania; rakesh rajani’s twaweza , creco, kenya in association with ushahidi and sodnet, kenya as technology & strategy partners.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,763,719,501 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK