Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
majibizano hayo hayakuishia hapo.
the exchanges did not end at that.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na mwenyezi mungu anayasikia majibizano yenu.
allah has heard both of you discussing with one another.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na mwenyezi mungu anayasikia majibizano yenu. hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia, mwenye kuona.
god hears the two of you conversing together; surely god is all-hearing, all-seeing.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa kadiri mjadala ulivyoendelea kupamba moto, majibizano makali yakiwahusisha waandishi kadhaa wa habari wa ki-ganda yalijitokeza.
as the debate raged on, a heated exchange involving several ugandan journalists ensued.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
majibizano haya yaliyo katika video yalirekodiwa na yasser, al-dhuhaian pamoja na mtoto wa kiume wa al-ayaf.
the conversation was being videotaped by yasser, al-dhuhaian and al-ayaf's son.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kama mwanablogu wa kitanzania, subi alivyoandika yaliyosikika wakati wa majibizano, inasemekana wenje alisema "tufunge mlango tupigane".
as tanzanian blogger subi wrote at the time, heard within this exchange was the phrase, "tufunge mlango tupigane" ("let's close the doors and fight").
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kulitokea majibizano pale kituoni na fodeil alijikuta akitupwa tena gerezaji, akituhumiwa "kuwatukana maofisa wa polisi wakati walipokuwa wakitimiza wajibu wao."
an altercation follows and fodeil ends up again in prison, accused of "insulting officers during the exercise of their function."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kulipuka kwa majibizano yasiyo ya mpangilio yanayofuatiwa na wabunge kutoka nje ya bunge, ambao mara nyingi huwa ni wabunge wa vyama vya upinzani, imesababisha vikao vya bunge kuwa ni miongoni mwa vipindi vya televisheni visivyochosha kuangaliwa.
random eruptions of arguments followed by mass walkouts, usually by the opposition, has turned parliamentary sessions into must-watch television.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.
an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
houmani, wimbo wa kawaida lakini wenye jina la ajabu na kiapnde cha video ambacho hakikuchukua gharama kubwa kuandaliwa, kimezua mjadala mkubwa katika wiki za hivi karibuni. kwa haraka, wimbo huu umeshajikita katika utamaduni uliozoeleka kiasi cha kuzua majibizano na mijadala kadhaa.... suala la tabaka la wafanyakazi dhidi ya lile la watu matajiri, pamoja na kuwa halijazungumzwa sana katika wimbo huu, ni miongoni mwa mijadala inayoendelea kwa kiasi kikubwa.
houmani, a simple song with a strange title and a video clip that did not cost much, has generated big debates these recent weeks.the song has quickly blended into the popular culture generating several conversations and debates...the issue of working class neighborhoods vs rich neighborhoods, though not directly tackled in the song, is very present.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: