Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mwamuzi alipopiga filimbi kuashiria ni mapumziko, wachezaji wakahisi kupumua.
when the referee blew his whistle for half-time, the players seemed relieved.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
@ekkymusiq anafikiri kwamba mola ndie mwamuzi wa mwisho kwa kila kinachotokea:
@ekkymusiq thinks god has the last decision over everything:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu akamjibu, "rafiki, ni nani aliyeniweka mimi mwamuzi au msuluhishi kati yenu?"
and he said unto him, man, who made me a judge or a divider over you?
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
alituamuru kuihubiri habari njema kwa watu wote na kushuhudia kwamba yeye ndiye aliyeteuliwa na mungu awe mwamuzi wa wazima na wafu.
and he commanded us to preach unto the people, and to testify that it is he which was ordained of god to be the judge of quick and dead.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wanawezaje kumwamini kuwa mwamuzi mwaminifu ikitokea suala lolote la machafuko ya kisiasa likaletwa kwake kama mwenyekiti wa regsec?
how can they trust him to be an honest broker should any matter of political violence come before him as the chair of regsec?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
dakika chache baadae, baada ya mwamuzi kupiga kipenga kuashiria pambano kuisha, baadhi ya wachezaji wa simba walianguka uwanjani, wasiamini kilichotokea.
a few minutes later, after the referee had blown for full time, some simba players collapsed to the ground, not quite believing what they had just pulled off.
Última atualização: 2024-03-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"huyu mose ndiye yule watu wa israeli waliyemkataa waliposema: ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wetu? kwa njia ya yule malaika aliyemtokea katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto, mungu alimtuma mose huyo awe kiongozi na mkombozi.
this moses whom they refused, saying, who made thee a ruler and a judge? the same did god send to be a ruler and a deliverer by the hand of the angel which appeared to him in the bush.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível