Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
thamani ya maisha ya mtu haiko katika umiliki wa mali.
the worth of a man's life is not in the abundance of possessions. — ramblersinc. (@tee_hidee) december 6, 2013
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
askofu oyedepo hajatoa maoni kuhusu umiliki wa shirika hilo la ndege.
bishop oyedepo has not commented about the ownership of dominion air.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yardflex.com anaifuatilia kesi ya umiliki wa madawa ya kulevya inayomkabili buju banton na ambayo itaendeshwa siku ya jumatatu huko marekani.
yardflex.com is following the buju banton drug possession case which goes to trial in the u.s. on monday.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
faida hizi, hata hivyo, hutumika tu kwa bidhaa na huduma zinazotumika kwa ajili ya shughuli za kidini, wakati kanisa la serbia la orthodox inajulikana kuwa na aina mbalimbali za magari ya gharama kubwa katika umiliki wa kanisa, zinazotumiwa na viongozi wake na wafanyakazi.
these benefits, however, only apply to products and services that serve for religious activities, while the serbian orthodox church is known to have a variety of the most expensive vehicles in the ownership of the church, used by its officials and employees.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ishara nyingi zinaelekezwa kwa walima maharage ya soya wa kibrazili kwamba ndiyo wanaohusika na unyunyiziaji huo, kwani kwa kiasi kikubwa ardhi iliyo mikononi mwa jamii za wenyeji ingefaa sana kwa zao hilo na kwamba hawa wamekuwa katika mgogoro na ava guaraní kuhusu umiliki wa takribani hekta 3,000, kwa mujibu wa blogu ijulikanayo interparaguay .
many of the signs point to brazilian soy growers as those responsible for the spraying, in part because the indigenous community's land is valuable for the crop and that they had been in a dispute with the ava guaraní over the ownership of approximately 3,000 hectares , according to the blog interparaguay .
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.