Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
ziara kwa wauzaji ulaya na marekani ya kilatini zilipungua kwa 40%.
visits to retailers in europe and latin america declined by 40%.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa upande mwingine, msaada wa uchina imepokewa vizuri katika sehemu za marekani ya kilatini na afrika.tarehe 2 aprili, benki ya dunia ilianzisha shughuli za msaada wa dharura kwa nchi zinazoendelea.
on the other hand, chinese aid has been well-received in parts of latin america and africa.on 2 april, the world bank launched emergency support operations for developing countries.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
akibainisha kwa huzuni juu ya kuongezeka kwa matumizi ya miandiko ya kilatini nchini bulgaria, mwanablogu stranniche anaandika kuhusu siku ya utamaduni, elimu na alfabeti za kibulgeria, maadhimisho ya kitaifa kukumbuka watakatifu cyril na methodius, ambao wanakumbukwa kwa kuunda alfabeti kongwe za kislavoni ziitwazo -alfabeti za glagoliti.
noting with sadness about the ever-increasing use of the latin script in bulgaria, blogger stranniche writes about the day of the bulgarian education, culture and alphabet, a national holiday commemorating saints cyril and methodius, to whom the creation of the oldest known slavic alphabet - the glagolitic alphabet - is attributed.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.