A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
miaka mia nne na hamsini ilipita, halafu akawapatia waamuzi wawaongoze mpaka wakati wa nabii samweli.
and after that he gave unto them judges about the space of four hundred and fifty years, until samuel the prophet.
manabii wote, kuanzia samweli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.
yea, and all the prophets from samuel and those that follow after, as many as have spoken, have likewise foretold of these days.
basi, niseme nini zaidi? wakati hauniruhusu kueleza juu ya gedeoni, baraki, samsoni, yeftha, daudi, samweli na manabii.
and what shall i more say? for the time would fail me to tell of gedeon, and of barak, and of samson, and of jephthae; of david also, and samuel, and of the prophets: