Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
simba na uume mdogo lazima fidia kwa swahili kubwa ya roho
lion with small penis must compensate with mighty roar
Última atualização: 2018-06-15
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
miaka kumi iliyopita nilipata kuhudhuria si zaidi ya mechi tatu za simba na yanga.
in the last ten years i attended no more than three dar derbies.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
simba na yanga ni watani wa jadi sana lakini mwisho wake wanafurah ia maisha pamoja
traditional jokes
Última atualização: 2022-06-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hasa lucian na ndemla, waliongezea nguvu safu ya ushamuliaji ya simba na mapema iwezekanavyo ikawasaidia simba kuanza kupunguza magoli.
lucian and ndemla, in particular, injected some pace into simba's attacks and soon enough they had helped their team pull a goal back.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mpira uliorushwa kutoka kushoto ulimtoroka beki wa simba na kutua kwenye njia ya ngasa ambaye aliunyoosha nyavuni kuiandikia yanga bao stahili la kuongoza.
a ball swung in from the left, eluded simba's defender and broke into ngasa's path. ngasa flicked it into the net to give yanga a well deserved lead.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
baada ya simba kushindwa kuondoa mpira uliorushwa ndani ya sita ya lango la simba na kumkuta hamis kiiza aliyeusukuma na kuipa timu yake uongozi wa 2-0.
after simba failed to clear a long throw into their six-yard box, yanga’s hamid kiiza pounced, to give his team a 2-0 lead.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kisha, katika dakika ya 54, yanga walishindwa kuizuia presha kutoka kwa washambuliaji wa simba na kusababisha mshambuliaji wa simba bertram mombeki kwenye nafasi ya kupiga mpira juu ya nyavu, hii kidogo ikaipa timu yake matumaini.
then, in the 54th minute, yanga failed to deal with a speculative punt forward from simba that found striker bertram mombeki in position to blast the ball into the roof of the net, giving his side some hope.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
dar es salaam, tanzania — unapozungumzia upinzani wa soka, ni mara chache hapa afrika utakutana unaoshinda ule wa kati ya simba na yanga (known locally as yanga).
dar es salaam, tanzania — when it comes to football rivalries, few in africa are more intense than the one between simba sports club and young africans (known locally as yanga).
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hivi ndivyo nilivyowaona hao farasi na wapanda farasi katika hiyo njozi: walikuwa na ngao vifuani zilizokuwa moto mtupu, zenye rangi ya samawati na njano kama kiberiti. vichwa vya hao farasi vilikuwa kama vya simba; na moto, moshi, na kiberiti vilikuwa vinatoka kinywani mwao.
and thus i saw the horses in the vision, and them that sat on them, having breastplates of fire, and of jacinth, and brimstone: and the heads of the horses were as the heads of lions; and out of their mouths issued fire and smoke and brimstone.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.