A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mipango ya kupunguza usafiri kati ya miji zilitangazwa mnamo machi, ingawa msongamano mkubwa wa magari kati ya miji kabla ya mwaka mpya ya uajemi nowruz iliendelea.
plans to limit travel between cities were announced in march, although heavy traffic between cities ahead of the persian new year nowruz continued.
kupitia twita, sanam dolatshahi alituma twitakuhusu habari za uwezekano wa kuwepo na adhabu ya kifo, vilevile kuna tovuti moja ya uajemi inayojulikana kama kamtarin ambayo nayo imetaja uwezekano huo, ikizingatiwa kwamba licha ya minong'ono iliyokuwepo hapo kabla kwamba derakshan alikamatwa kwa "ujasusi" nchini israeli , lakini ni wazi kwamba hii si moja kati ya makosa ambayo kwayo mwendesha mashtaka anataka itolewe adhabu ya kifo.
on twitter, sanam dolatshahi tweeted the news of a possible death penalty, and a site in persian called kamtarin has also mentioned it, noting that despite previous rumors that derakhshan was being held for "spying" in israel this is apparently not one of the accusations for which the prosecutor seeks his death.