Você procurou por: ufunguzi rasmi wa maonyesho kwenye uwanja (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

ufunguzi rasmi wa maonyesho kwenye uwanja

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

syria: matembezi kwenye uwanja wa blogu

Inglês

syria: a stroll around the blogosphere · global voices

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

tumeondoa kila kitu kutoka kwenye uwanja wa mpira ili kuruhusu helikopta kutua hapo.

Inglês

we have cleared a soccer field for helicopter landing.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

waziri kiongozi sindh ana makomandoo zaidi kuliko waliopo kwenye uwanja wa ndege wa khi sasa hivi?

Inglês

isn't it supposed to hide some of the information? #karachiairport #karachi — dexter (@dextershani) june 8, 2014

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ndege hiyo ilikuwa itue kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa beijing saa 12.30 asubuhi kwa saa za beijing.

Inglês

the aircraft was scheduled to land at beijing international airport at 6.30am local beijing time.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa hiyo, mwanzoni ilitulazimu kuwalaza wagonjwa kwenye uwanja mtupu ulio mbele ya jengo la hospitali na kuwapa matibabu pale.

Inglês

so at first, we had to place the patients at the empty yard in front of the hospital and give them treatment.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

habari mpya: picha zaidi hapa, uwekaji rasmi wa maua (ya rambirambi) kwenye ofisi za google umepangwa kufanyika baadaye leo.

Inglês

update: more photos here, formal flowering of google china offices scheduled for later today.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

sasa mimi nifanyeje kwa kujua hivyo?“ “hata waandishi hawaruhusiwi kupiga picha kwenye uwanja wa mapambano.”

Inglês

so what?" "even reporters cannot take photos from the front."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

kwa hiyo kwa mara nyingine mwaka huu, global voices online inayo fahari kuwa mshirika rasmi wa siku hiyo.

Inglês

again this year, global voices online is proud to be an official partner.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

na hatuzungumzii watu ishirini ama thelathini kwenye uwanja, tunazungumzia mamia, kama sio maelfu ya wenyeji wanaoendeleza hii kelele inapasua masikio wakati wote wa mchezo.

Inglês

and we’re not talking about twenty or thirty people in the stadium, we’re talking about hundreds, if not thousands, of locals keeping a deafening racket during the entire match.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

baada ya malalamiko kuhusu hali mbaya ya usalama wa afya kwenye uwanja wa ndege wa khartoum, msudani mwenye matumaini anaomboleza kifo cha mwandishi mashuhuri wa riwaya, al- tayeb saleh.

Inglês

after a frustrated rant about khartoum international airport's unhygienic condition, sudanese optimist mourned the passing of the respected and well-known sudanese novelist, al-tayeb saleh.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

maryam alikamatwa kwenye uwanja wa ndege mwishoni mwa mwezi agosti, alipojaribu kuingia nchini bahrain kukutana na baba wa mwanaharakati wa haki za binadamu alikuwa amefungwa tangu mwezi aprili 2011.

Inglês

maryam was arrested at the airport in late august, as she tried to enter bahrain to meet her father a prominent human rights activist who has been behind bars since april 2011.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hakuna mtawala anayetaja mfumo rasmi wa kiutawala atakaoufuata akiisha kuchaguliwa kushika madaraka ukimwacha labda bw. james nyondo mgombea binafsi wa urais.

Inglês

none of the leaders is mentioning about an ideology to follow once elected into power save for pressidential independent candidate mr. james nyondo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ikitumia ukurasa wake wa twita, wizara ya mambo ya ndani ilitoa mrejesho rasmi wa matukio yaliyotokea siku ya mwaka mpya, ilisema:

Inglês

using its twitter account, the ministry of interior issued a formal reply on the events of new year's day, saying:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

sa sucks anayapeleka mbali zaidi mabishano ya vuvuzela kwenye uwanja mwingine kabisa akitoa hoja kwamba mbali na uwezekano wa kuharibu masikio ya mtu, chombo hiki kinaweza kusambaza vvu/ukimwi!

Inglês

sa sucks takes the vuvuzela debate to a totally new ground by arguing that apart from the possibility of damaging one's hearing, the instrument might spread hiv/aids!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwamba hassan alisema siku ya tarehe 31 machi 2020 saa takriban 1000hrs kwenye uwanja wa opec mine block d kule mirerani wilayani simanjiro mkoa wa manyara kuwa dereva na incharge ya gari na reg.no. t954aex fanya bedford iweze kuendesha gari iliyosemwa kwa uangalifu na matokeo yake uligonga nguzo moja ya umeme na ukasababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme

Inglês

that hassan s/o saidd mzava on the day of 31st march 2020 at about 1000hrs at opec mine block d in mirerani at simanjiro district in manyara region being a driver and incharge of a motorvehicle with a reg.no. t954aex make bedford you drive the said motorvehicle carelessly and at result you knocked one electric pillar and you caused damage to electricity infrastructure

Última atualização: 2020-04-15
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

helkopita tatu (mbili ka-27 na moja mi-8) ilitua kwenye uwanja wa ndege wa kacha na kuvuka mpaka na utaratibu uliopo wa kudhibiti forodha kwa mujibu wa maombo yaliyoweka mwanzoni.

Inglês

three helicopters (two ka-27 and one mi-8) landed at the kacha airport and passed through the border and customs established procedures according to an application made preliminarily.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

katika majira haya ya mwaka tumeanzisha "mkutano" wetu wa kwanza rasmi wa ana kwa ana kwa kuongozwa na kuendeshwa na wanachama wa global voices, wanaoishi na kuzifahamu jamii za mahali katika nchi sita.

Inglês

this winter we launched our first official global in-person ‘meetups’ led and facilitated by global voices members, who live and know those local communities in six countries.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

wanasemekana waliingia uwanjani humo kwa kutumia vitambulisho bandia vya wanausalama wa uwanja huo wa ndege wakiwa na , silaha kali na mabomu ya kutupa kwa mkono. wafanyakazi wa uwanja wa karachi wakisaidiwa kutoka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa jinnah. picha ilitwitiwa na @dawn_com mtu mmoja alijitoa mhanga wakati wa shambulizi hilo.

Inglês

“we are looking into this and according to the families some seven people were trapped inside the cold storage and were in contact with the families on cell phone,” said abid qaimkhani, a spokesman for caa (civil aviation authority).

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

quirino ave cor taft ave akiwa njiani kwenda kwenye uwanja wa moa arena majira ya saa 11 jioni @gmanews pic.twitter.com/lkxjyy3nba — bam alegre (@bamalegre) january 16, 2015

Inglês

quirino ave cor taft ave on his way to moa arena around 5pm @gmanews pic.twitter.com/lkxjyy3nba — bam alegre (@bamalegre) january 16, 2015

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

hakuna uhakika juu ya nani ameanzisha utumiaji huo - iwe ni wagombea wenyewe wa urais au ubunge ama na maafisa rasmi wa timu za upigaji kampeni - kuna tovuti, blogu, kurasa za facebook na akaunti za twita chache, pamoja na zile za wagombea wa chama kinachotawala cha ccm.

Inglês

whether created by fans or formal campaign officials, there are a few websites, blogs, facebook pages and twitter accounts running campaigns for presidential candidates and those fighting for parliamentary seats from the ruling ccm party.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,773,116,653 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK