Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
utawala wa kabila unadai kwamba sensa ni zoezi muhimu na linalostahili kupewa kipaumbele ili kuhakikisha kwamba orodha ya wapiga kura inaandaliwa vyema kwa ajili ya uchaguzi ujao wa rais na wabunge unaotarajiwa kufanyika 2016.
the kabila administration argues that a census is necessary prior to issuing the electoral lists for the presidential and parliamentary elections of 2016.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kabila anaonekana kutumia mbinu zisizo za moja kwa moja kutafuta kugombea muhula mwingine wa urais katika uchaguzi wa unaotarajiwa kufanyika mwakani, kwa kuandaa sensa ambayo kwa kawaida huchukua miaka mitatu kukamilika.
kabila seeks to indirectly extend his term, which is coming to an end next year, by organizing a census that would take 3 years to complete.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
muswada huo, unaotarajiwa kupitishwa siku ya jumanne, mei 27, 2014, ulitungwa na waziri wa macau wa utawala na sheria mwezi mmoja uliopita na ulipendekezwa bila ridhaa ya umma.
the bill, which is expected to be passed on tuesday, 27 may, 2014, was drafted by the macau secretary for administration and justice a month ago and was proposed without public consultation.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
badala yake, anasema, muswada huo unaonesha “kupuuza uhuru wa habari na kujieleza, mamlaka makubwa kwa polisi, na ulinzi unaotarajiwa kwa wananchi wa kawaida.”
instead, she says, it shows an "overt disregard for press freedom and freedom of expression, excessive powers to police, and protections afforded to ordinary citizens."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível