Você procurou por: wakati hai wa kuondoka inapatikana (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

wakati hai wa kuondoka inapatikana

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

huwezi kumwona sasa hivi mpaka wakati wa kuondoka

Inglês

mymemory warning: you used all available free translation for today. contact alberto@translated.net to translate more

Última atualização: 2014-04-28
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

maendeleo yenye mvuto wakati wa matukio haya ya kisiasa ni kuzuka kwa watumiaji hai wa twita kwa kimalagasi ambao walituma maendeleo ya kisiasa katika muda uliopo.

Inglês

blogger jentilisa provides in-depth analysis of the discourse on both sides of the political spectrum and cautions against the spreading of unverified rumors (mg):

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

waandamanaji wakisukumana na ukuta hai wa polisi mnamo tarehe 25 machi.

Inglês

protesters pushing the police barricades on march 25.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kesi ya ghanem ni mfano hai wa namna hali ilivyo ngumu kwa wachora katuni na watu wengine wasioficha maoni yao.

Inglês

ghanem's case is a typical example of how dire the situation is for cartoonists and other people willing to speak up.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

namna gani hili linaweza kudhibitiwa vizuri zaidi, ili watu wasikumbane na usumbufu wa kuondoka katika vituo fulani ili basi wajue wanatakiwa kwenda wapi kutoa damu ya aina yao?

Inglês

how can this be managed better, so that people aren’t turned away from some places and so that they know where to go for their type?

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kuna utamaduni hai wa wanasiasa wa kupindisha sharia, huku wakidumisha nafasi zao za upendeleo kama wafadhili wa wapiga kura nchini brazil.

Inglês

there is a real culture of politicians subverting the law, maintaining a privileged position as patrons of voters in brazil.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kisha, mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, "njoo!"

Inglês

and when he had opened the second seal, i heard the second beast say, come and see.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

chirikova alishindwa, ingawa yeye ni mmoja wa viongozi bora na maarufu wa upinzani, hasa huko khimki, ambapo yu mwanachama hai wa jamii ya sehemu hiyo.

Inglês

chirikova lost, even though she is one of the better known leaders of the opposition, particularly in khimki, where she's an active member of the local community.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.

Inglês

the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa tatu. nikamsikia yule kiumbe hai wa tatu akisema, "njoo!" nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mmoja hapo, mweusi. mpanda farasi wake alikuwa na vipimo viwili vya kupimia uzito mkononi mwake.

Inglês

and when he had opened the third seal, i heard the third beast say, come and see. and i beheld, and lo a black horse; and he that sat on him had a pair of balances in his hand.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,763,445,605 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK