Você procurou por: wakiwemo (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

wakiwemo

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

tulifanikiwa kuwapatia mafunzo vijana 172, wakiwemo wanawake zaidi ya 40.

Inglês

we succeeded in training 172 youth, including more than 40 young women.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

takribani watu 51 walikamatwa siku hiyo, miongoni mwao wakiwemo wanaharakati kadhaa maarufu.

Inglês

at least 51 people were arrested that day, among them several prominent activists.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mnamo aprili 25, 2014, wanablogu tisa wakiwemo waandishi wa habari waliwekwa kizuizini nchini ethiopia.

Inglês

on april 25, 2014, nine bloggers and journalists were arrested in ethiopia.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

habari nyingine zinasema wafanyakazi 26 raia wa misri wamejiuzulu, wakiwemo wanne wanaofanya kazi kwenye ofisi kuu iliyoko doha.

Inglês

other reports say that 26 egyptian employees have resigned, including four in the main doha office.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wachunguzi wengi wa mambo wakiwemo wabunge wa renamo wanaulaumu uamuzi wa dhlakama na kumsifu davis simango kwa uamuzi wake wa kusimama kama mgombea huru.

Inglês

many analysts including some renamo parliamentarians condemn dhlakama’s decision and praise davis simango for his decision to run as an independent candidate.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

maelezo haya yalisambazwa mtandaoni kwa kiwango kikubwa na kujadiliwa na watumiaji wakuu wa mtandao katika mtandao wa facebook, wakiwemo wanahabari na wanaharakati.

Inglês

this excerpt was widely circulated online and discussed on facebook by regular users, journalists and activists.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

773 walikuwa wananchi wasio wanajeshi, wakiwemo watoto 320 na wanawake 109 (chanzo: b'tselem)

Inglês

(source: b'tselem) — richard hall (@_richardhall) july 17, 2014

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa ujumla , ukisoma haya mapitio inaonesha kuwa baada ya uchaguzi wa rais, raia wa mtandaoni nchini iran wamekuwa zaidi na kwamba facebook imekuwa uwanja wa wengi wao wakiwemo viongozi wa kisiasa.

Inglês

in sum, reading this survey shows that after presidential election iranian netizens have gone more visual and that facebook has become a place to be for many of them including political leaders.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

baada ya kutoka chama tawala, wanachama wengine kadhaa wa kutoka chama tawala wakiwemo wabunge, madiwani na viongozi wengine wa mikoani nao walihamia kwenye chama kikuu cha upinzani, chadema.

Inglês

after lowassa’s defection, a number of key members of the ruling party including members of parliament, councilors and regional officials followed him to chadema.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hakikisha kujumuishwa kwa programu za kujifunza kupitia mtandao: tekeleza hatua kuhakikisha kuwa wanafunzi wakiwemo wale walio na ulemavu au kutoka sehemu zenye mapato duni wana ufikivu wa programu za kujifunza kupitia mtandao, ikiwa ni wachache tu kati yao wana ufikivu kwa vifaa vya kidijitali.

Inglês

ensure inclusion of the distance learning programmes: implement measures to ensure that students including those with disabilities or from low-income backgrounds have access to distance learning programmes, if only a limited number of them have access to digital devices.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

jioni ya tarehe 6 novemba, blogu ya babalú iliweka kiungo kuelekea makala iliyoandikwa na penultimos dias (es) ilitoa taarifa kuwa baadhi ya wanablogu mashuhuri wa cuba, wakiwemo yoaní sánchez na mchangiaji wa global voices claudia cadelo, walitiwa mbaroni na majeshi ya usalama.

Inglês

on the evening of november 6, babalú blog linked to a post by penultimos dias (es) reporting that a number of prominent cuban bloggers, including yoaní sánchez and global voices contributor claudia cadelo, were detained by state security forces.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,763,925,784 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK