Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
wapendwa tafsili yakingereza
dear english physics
Última atualização: 2020-04-29
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hello wapendwa ni wewe?
hello dear are you?
Última atualização: 2023-11-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
watu wakiwa wamekaa na maiti za wapendwa wao huko quetta.
people sitting in quetta with the cadaver of their loved ones.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
lakini rafiki zangu wapendwa, huu ni mchakato, ambao unaendelea.
but dear friends, it is just a process, which goes on and on.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
abdilahi alijiunga na mradi wa kutafuta watu na kuanza kuwatafutwa wapendwa waliopotea.
abdulahi registered with the tracing project and began a search for missing loved ones.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
toa hotuba ya rambirambi kwa familia iliyopoteza wapendwa wake katika wilaya ya kasese na adf
give a condolence speech to a family who lost his loved ones in kasese district by adf
Última atualização: 2023-07-08
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ninafahamu kwamba nina bahati sana kwamba nikifa, nitakumbukwa na marafiki na wapendwa wangu.
i know that i am fortunate enough that when i do die, i will be remembered by friends and loved ones.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
@fatanil: wapendwa wahamiaji na wageni nchini humu, ninahisi kuwa wengi wenu mmechanganikiwa.
@fatanil: dear foreigners, sensing that many of you are confused.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
walisema pia kuwa hawakuwa na sababu ya kuwa na watoto waliosaliti familia zao, ndugu zao, wapendwa wao, uislam pamoja na watu wao.
they also said they had no need of sons who betrayed their family, their relatives, their loved ones, islam, and their people.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
natumai wote tuwazima wa afya, naona mshahara leo umetoka kwahiyo ijumaa tukutane kwa ajili ya ununuzi wa hisa wapendwa, karibuni sana kwa malengo na maslahi ya wote kwenye kikundi
i hope all of us healthy adults, i see the salary today is out so on friday we meet for the purchase of dear shares, very soon for the goals and interests of all in the group
Última atualização: 2023-02-22
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa mfano, mobileactive, inahamasishwa na uwezo wa simu za mkononi zinavyowawezesha wakimbizi siyo tu kuwasiliana na wapendwa wao, bali pia kuweza kujua mahali walipo.
mobileactive, for example, is encouraged by the potential for mobile phones to allow refugees to not only remain in contact with loved ones, but to also more easily locate them.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
familia za watu wanaoshikiliwa gerezani nchini saudi arabia zaingia siku ya tatu ya kupinga kushikiliwa bila utaratibu maalum kwa wapendwa wao, ambao wamekuwa mahabusu kwa miaka kadhaa sasa bila ya kusomewa mashitaka yoyote.
families of saudi detainees marked the third detainees day to protest the arbitrary detention of their loved ones, who have been behind bars for years without access to a fair trial.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hata hivyo, ulimwengu huu hauwezi kubashiriwa kwa sasa, na iwe unahitaji kuwatunza wapendwa wako, kupata mboga, au kwenda kwa daktari, maslahi yako ndio kipaumbele chetu.
however, the world is unpredictable right now, and whether you need to care for loved ones, get groceries, or go to the doctor, your well-being is our priority.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
familia ya abdulkarim al-khuder, mwanachama wa acpra aliyefungwa, walikuwa miongoni mwa familia chache zilifanya nyumba zao zizingirwe na magari ya polisi kwa kosa la kutundika picha za wapendwa wao waliowekwa kizuizini.
the family of abdulkarim al-khuder, imprisoned acpra member, were among a few families who had their houses surrounded by police cars for hanging pictures of their detained loved ones.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
tumesikitishwa sana na vifo vya watu na uharibifu uliosababishwa na mafuriko katika kijiji cha katesh mkoani manyara. mawazo na maombi yetu ni pamoja na wale ambao wamepoteza maisha yao, wapendwa wao na nyumba zao. tunasimama pamoja na serikali na taifa zima, kutoa msaada wetu wakati huu mgumu.
we are profoundly saddened by the tragic loss of life and the devastation caused by the floods in katesh village in manyara region. our thoughts and prayers are with those who have lost their lives, their loved ones and their homes. we stand united with the government and the entire nation, offering our support during this grievous moment.
Última atualização: 2023-12-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: