Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
zainabu
creative
Última atualização: 2020-01-29
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ulikuwa abdul
you was abdul
Última atualização: 2021-06-07
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
abdul khalik anayeandika kwenye the jarkata post ananukuu mitazamo ya wanazuoni kuhusu suala hili:
abdul khalik writing for the jakarta post quotes the views of scholars about this issue:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu abdul hadi al khawaja kwa sasa anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kuhusika na maandamano hayo.
prominent human rights activist abdul hadi al khawaja is currently in prison, serving a life sentence for his role in the protests.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maryam akiwa na wafuati elfu 10 na zainabu akiwa na wafuasi 48.8 kwenye mtandao wa twita, wamepata vitisho vya serikali kwa kitendo chao cha kusema.
with 102k and 48.8k followers on twitter respectively, maryam and zainab have been constantly badgered by the authorities for speaking up.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kisha, jeshi la misri lilitwaa madaraka, chini ya uongozi wa amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini misri na waziri wa ulinzi, jenerali abdul fattah el sisi, ambaye baadae alichaguliwa kuwa rais mpya wa misri.
then, the egyptian army took command, under the leadership of commander-in-chief of the egyptian armed forces and minister of defence general abdul fattah el sisi, who was later on elected as the new president of egypt.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"je, mtu anaweza kuwa na historia ya uhalifu na bado akawa waziri mkuu wa india?" - anauliza dr. abdul ruff wakati anajadili uteuzi wa kiongozi wa mrengo wa kulia na waziri mkuu wa gujarat narendra modi.
"can a person with criminal records become the pm of india?" - asks dr. abdul ruff while discussing the nomination of the right wing leader and gujarat chief-minister narendra modi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível