Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
maandamano jijini santiago de chile.
demonstrations in santiago de chile.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chile: mkutano wa mccain na pinochet mwaka 1985
chile: the 1985 meeting between mccain and pinochet · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tumeungana pamoja kwa ajili ya elimu pya itakayoijenga chile mpya.
united for a new education that builds a better chile.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chile: mchakato wa ujenzi mpya baada ya tetemeko la ardhi
chile: the process of earthquake reconstruction · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chile: tetemeko la ardhi lafichua ukosefu wa usawa katika jamii
chile: earthquake reveals social inequalities · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chile: mahabusu wa mapuche wamaliza mgomo wa kutokula uliodumu kwa siku 60
chile: mapuche prisoners end hunger strike after 60 days · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ramani: kiini cha tetemeko hilo la ukubwa wa 8.2 kaskazini mwa chile
map: epicenter of the 8.2 magnitude earthquake in northern chile
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chile: tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 laikumba chile
chile: powerful 8.8-magnitude earthquake strikes country · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakati huo huo nchini chile, kuna taarifa za mitikisiko midogo baada ya tetemeko:
meanwhile in chile, there were reports of aftershocks:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
watu sita wameripotiwa kupoteza maisha nchini chile, ikiwa ni pamoja na mwanamme mmoja raia wa peru.
six people died in chile, including one peruvian man.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
habari mpya - zoezi la kuwahamisha watu kaskazini mwa chile lilifanyika kwa utulivu, kwa mujibu wa mwandishi wetu aliyeko arica.
latest news - evacuation in northern chile carried out calmly, according to our correspondent in arica.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
@alejandrobascur: taarifa kubwa na maalumu iliyooneshwa na tvn ( televisheni ya taifa ya chile).
@alejandrobascur: great special report by tvn (national television of chile).
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hivi karibuni, ramani za ushahidi zilitumika nchini haiti baada ya tetemeko la ardhi kuikumba nchi hiyo, vilevile baada ya tetemeko nchini chile.
recently, ushahidi maps were deployed in haiti after the earthquake that devastated the country, as well as after the chile earthquake.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
dharura - tetemeko nchini chile: mamlaka za peru zimeliambia shirika la habari la afp kuwa zinawahamisha watu kwenye eneo la kusini la nchi hiyo.
urgent - earthquake in chile: peruvian authorities tell afp that they are evacuating the population in the country's south.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
vituo vya televisheni vya chile viliufikisha ukweli huu kwenye mamilioni ya ngumba kwa mtindo sahihi , na hivyo wachile walijionea jinsi baadhi walivyojisaidia kuchukua televisheni za kisasa za plasma, majokofu na vichezea dvd.
chilean tv stations brought this reality to the homes of millions in a fairly accurate fashion , and so chileans saw how some helped themselves to plasma tvs, refrigerators, and dvd players.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
baada ya tetemeko kutokea, wengi wa watu wa chile waliwasaidia wenzano, waliwasaidia majirani zao wenye shida, walishirikiana kwa chakula cha ziada, na walichanga fedha katika njia zilizozidi viwango.
after the quake hit, a majority of chileans helped others, assisted their neighbors in need, shared their food surpluses, and donated money in unprecedented ways.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hata hivyo, kuna wachache, bila kujali ni wachache kiasi gani, walipora vifaa na mahitaji yasiyo ya msingi, walifanya ujambazi majumbani, na kwa makusudi walichoma moto maduka, bila kujali ukweli kwamba serikali ya chile iliruhusu watu kuchukua mahitaji, kama vile maziwa, maziwa ya unga ya watoto, mikate na unga.
nevertheless, a minority, however small, looted non-essentials, robbed homes, and intentionally set fire to department stores, despite the fact that the chilean government allowed people to take essentials, such as milk, baby formula, bread, and flour.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: