Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kufungiwa mkataba
contract binding
Última atualização: 2023-09-21
Frequência de uso: 1
Qualidade:
sourceforge imewahi kufungiwa na china kabla.
sourceforge has been blocked by china before.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
katika wakati huu, kufungiwa kwa kitu kuliweza kufanya kazi.
in these simpler times, banning something would actually work.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kufungiwa kwa dns, ikifuatiwa na kufungiwa kwa ips, nani ajuaye nini kinafuata.
next up, grandmas on tor. — zeynep tufekci (@zeynep) march 23, 2014
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kituo kikuu cha televisheni kinachopingana na serikali kinaripotiwa kufungiwa kurusha matangazo yake.
the main opposition tv channel reported being taken off air.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
stesheni za redio zinaogopa kufungiwa na kwa hiyo zinaendelea na program kama kawaida hakuna lolote linalotangazwa kuhusu ghasia
radio stations scared of being closed and thus normal programing nutin with riots z mentioned.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hivyo, uwezekano wa alpaca kupata virusi vya alpha-cov vinavyohusiana na hcov-229e kutoka kwa binadamu hauwezi kufungiwa nje.
thus, the possibility cannot be excluded that alpacas obtain the hcov-229e-related alpha-cov from humans.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa kusika neno la ukuta huu mkubwa wa moto wa marekani uliowaacha wataalamu wa alama hizo wa kichina wakishangaa ikiwa wanaweza kuanza kufungiwa kutoka kwenye nchi nyingine na kile kinachoweza kufanywa kuhusu suala hilo.
hearing word of this new great firewall of america left some chinese coders wondering if they might now start getting blocked from the other end and what can be done about it.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"mtu yeyote atakayemfanya mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini atende dhambi, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.
and whosoever shall offend one of these little ones that believe in me, it is better for him that a millstone were hanged about his neck, and he were cast into the sea.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kufungiwa kwa vyombo vya habari vya ndani kunasindikizwa na "kususiwa" na vile vya kimataifa, ambavyo wala hakuna anayewafuatilia isipokuwa tu kupuuza na kuona kama yanayoendelea hayawahusu.
venezuela’s domestic media blackout is joined by a parallel international blackout, one born not of censorship but of disinterest and inertia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kufungiwa kwa mtandao wa twita, kulikoripotiwa kuathiri watu zaidi ya milioni 10 wanaotumia mtandao huo nchini uturuki, hali iliyofuatia kuchapishwa kwa nyaraka zinazosemekana 'kufunua' ufisadi wa maswahiba wa karibu wa waziri mkuu recep tayyip erdogan.
the ban on twitter, which reportedly effects some 10 million users in turkey, follows the publication of documents allegedly exposing corruption in prime minister recep tayyip erdogan's inner circle.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: