Você procurou por: kuwatafuta (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

kuwatafuta

Inglês

in search of them

Última atualização: 2024-01-23
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kama watoto wetu wangetoweka tungelipenda dunia yote kusimama na kuja kutusaidia kuwatafuta wao.

Inglês

if our own children were to go missing we would want the world to come to a standstill and help us find them.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

juhudi za uokoaji kuwatafuta wachimbaji 25 hadi 30 walionaswa katika mgodi katika idara ya cauca.

Inglês

rescuing efforts for finding 25 to 30 miners trapped in a mine in cauca.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

@pih_org (wabia katika afya) ambao wako huko boston wanajitahidi kuwatafuta madaktari, hasa madaktari wa mifupa, ili kuwapeleka haiti.

Inglês

boston-based @pih_org (partners in health) is actively looking for doctors, specifically orthopedic surgeons, to send to haiti:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

la, fikiria vitu rahisi kama kufungua ukurasa katika mtandao wa facebook, umuhimu wa kujiunga na mitandao ya twita na facebook, namna ya kuwatafuta watu wengine wanaotumia mtandao wa twita nchini kwako na kufahamu sababu ya kwa nini wanafuatiliwa na watu wengi na kwa nini na kipi cha kufanya ili upate wafuasi wengi.

Inglês

no, think basics on how to set up a facebook page, why it is important, why you should be on twitter, looking for other people in your country on twitter and seeing why they have so many followers and why or what you should do to get followers.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

sisi tulio nje ya haiti tunaweza tu kujenga picha kichwani kuhusu hali halisi ya maisha ya kila siku yalivyo huko baada ya tetemeko baya la ardhi - lakini katikati ya juhudi za kuwatafuta wapendwa ndugu, juhudi za kuwahudumia waliojeruhiwa na jukumu zito na gumu la kuwafikishia msaada wa kiutu wale wanaouhitaji zaidi - wanablogu walio huko port-au-prince na maeneo ya jirani wanawasiliana na ulimwengu wa nje, ambao nao unahangaika kutaka kupata taarifa kutoka kwa wale waliokuwa katika eneo lenyewe kabisa la janga.

Inglês

those of us outside of haiti can only imagine the stark reality of daily life in the earthquake's aftermath - but amidst attempts to find loved ones, efforts to administer to the wounded and the overwhelming task of getting relief to those who most need it - bloggers in and around port-au-prince are finding the time to communicate with the outside world, which is desperate for news from those closest to the disaster.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,794,081,466 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK