Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
pitch invasion anaangalia historia ya upigaji kelele kwenye mpira wa miguu duniani akianzia na kipiga kelele maarufu uingereza, yale manyanga au machekeche ya mbao:
pitch invasion looks at the history of noisemaking in world football starting with the first popular noisemaker in britain, the wooden rattle:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hata hivyo, ni mageuzi ya kimsingi katika utamaduni mzima wa mashabiki na siyo utambuzi kwamba manyanga yale yalikuwa yanakera,ndiyo yaliyoyaondoa manyanga yale kwenye viambaza."
yet it was a shift in the entire base of fan culture, rather than a simple realisation that rattles were annoying, that removed the rattle from the terraces.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
akiandika katika jarida la guardian, simon burnton alitegemea kwamba “huenda afrika kusini ingejifunza kutoka kwenye yale manyanga ya mbao yaliyotumbuiza kandanda la uingereza katika kipindi cha baada ya vita –na yaliyopoteza umaarufu wakati kila mmoja alivyogundua jinsi yanavyokera. natumaini kuwa siku hivi karibuni hatima mthili ya hiyo itayafikia haya mavuvuzela.”
writing in the guardian, simon burnton hoped that “perhaps south africa can learn from the loud wooden rattles that soundtracked british football in the post-war era – and fell out of favour when everyone realised just how annoying they were. i can only hope that one day soon a similar fate will befall the vuvuzelas.”
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: