Você procurou por: pole ya safari (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

pole ya safari

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

habari ya safari

Inglês

how is your trip?

Última atualização: 2023-02-17
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

bei ya safari ya pande zote

Inglês

flight segment

Última atualização: 2020-07-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

maana ya safari ya bamba ni machero

Inglês

meaning of bamba trip is machero

Última atualização: 2022-08-08
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

weka mwendo mrefu baina ya safari zetu.

Inglês

make the stage between our journeys longer.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

na tayari tupo nusu ya safari kufikia malengo hayo!

Inglês

and we are already half-way through!

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

weka mwendo mrefu baina ya safari zetu. na wakazidhulumu nafsi zao.

Inglês

make the stages between our journeys far apart,’ and they wronged themselves.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

tunaanza ushirikiano wetu kwa kuanza na mada ya “safari za wahamiaji”.

Inglês

we begin our partnership with the theme “migrant journeys.”

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

katika safari nyingine kuna hatari ya kuingia karantini mahali katikati ya safari yako.

Inglês

on certain itineraries there is a risk of getting quarantined somewhere along the way.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

lakini wakasema: mola wetu mlezi! weka mwendo mrefu baina ya safari zetu.

Inglês

but [insolently] they said, "our lord, lengthen the distance between our journeys," and wronged themselves, so we made them narrations and dispersed them in total dispersion.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

blogu hiyo imeshawahi kushinda tuzo blogu bora ya safari ya kihispania na mwandishi wa mwongozo wa safari lonely planet.

Inglês

the blog has already won the best spanish travel blog award by travel guide publisher lonely planet.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

wengine watahitaji miunganisho ya safari isio ya kawaida-vituo kadhaa na kusubiri kwa muda mrefu kati ya ndege.

Inglês

others will require more inconvenient connections than usual—multiple stops and long waits between flights.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

katika siku yake ya sita ya safari yake ya kupiga picha, alitembelea na kupiga picha za mji huo mzuri katika maeneo ya karibu:

Inglês

on the six-day photo-safari, she photographed the beautiful city and places nearby:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

sergey dolya, mwanablogu maarufu wa masuala ya safari na mjasiriamali wa zana za kijamii za mtandaoni, alituma makala hii akionyesha alivyofurahishwa :

Inglês

sergey dolya, a popular travel blogger and social media entrepreneur, posted this enthusiastic entry :

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

baada ya safari ya kuchosha, sikushangazwa na watawa, ila nyuso ya wananchi wa burma, zilizochorwa kwa rangi nyeupe, mara nyingi zenye tabasamu.

Inglês

after a frenetic trip, it wasn’t so much the monks and pagodas that haunted me, but the faces of the burmese, painted in white, often smiling.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

hatua za kudumisha umbali pia hupendekezwa kuzuia usambazaji.serikali nyingi zimeweka vizuizi au kushauri dhidi ya safari yoyote isiyo muhimu kuelekea na kutoka nchi na maeneo zilizoathirika na kuzuka kwa ugonjwa.

Inglês

physical distancing measures are also recommended to prevent transmission.many governments have restricted or advised against all non-essential travel to and from countries and areas affected by the outbreak.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

rais wa zamani frederick chiluba, rais wa pili kutawala nchi hiyo, alifariki nchini zambia baada ya safari nyingi kwenda afrika kusini kwa matibabu na uchunguzi wa afya kwa matatizo yanayohusiana na moyo.

Inglês

former president frederick chiluba, who served as the country's second president, died in zambia following a series of trips to south africa for treatment and check-ups for heart-related complications.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

siku kadhaa baada ya safari ya sata, ulinzi na itifaki ya kirais na bendera ya rais yenye nembo ya taifa, vyote ambavyo vilipaswa kuondolewa wakati rais asipokuwepo, viliendelea kuwepo ikulu ya rais kwenye wilaya ya kati ya jiji hilo.

Inglês

a couple of days after sata’s journey, the ceremonial guard and the presidential standard, an orange flag embossed with the coat of arms, both of which are supposed to be removed in his absence, were still in place at the presidential palace in the central district of the capital.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

miezi miwili kabla ya safari yangu ya kwenda marekani kwa ajili ya masomo ya uzamivu, edom alikuwa na safari ya tunisia, na aliporudi, aliniletea zawadi ya kishikio cha funguo kilichokuwa na mfano wa mchikichi ambao huaminiwa kutoa ulinzi dhidi ya mabaya.

Inglês

two months ahead of my departure to the us for my graduate studies, edom traveled to tunisia and on her return, brought me a palm-shaped key holder which is popularly believed to provide protection from evil.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

benki zilifungwa; dazeni za nchi zilitoa maonyo kwa wasafiri dhidi ya safari za kwenda thailand wikiendi hii; na wakazi waliambiwa wasivae nguo za rangi nyekundu au za manjano “rangi ambazo zina ishara hai kisiasa” nchini thailand.

Inglês

banks were closed; dozens of countries issued travel advisories against going to thailand this weekend; and residents were told not wear red or yellow which are “politically charged colors” in thailand.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

wakati kila kosa linatakiwa kutendewa kutokana na ubora wa vigezo, na kwamba hatutakiwi kudhani kuwa kosa hili jipya zaidi la jinai lilisababishwa na ubaguzi wa rangi, historia ya mashambulizi mengine ya huko nyuma, na mwendo wa pole wa mamlaka za australia katika kulichukulia suala hili kwa umakini unaofaa, vinamaanisha kuwa tukio moja tu lenye uzito kama hili kimelifanya gazeti la hindustan times kuripoti kuwa, maofisa wa serikali ya india ‘watalazimika’ kutoa maonyo (ya safari) katika mtindo wa kuwaonya wale ambao wanataka kufanya kazi au kusoma nchini australia, ikiwa mamlaka ya australia hayatachukua hatua kali wakati huu.

Inglês

while every crime should be treated on its merits, and we should not automatically assume this latest crime was racially motivated, the history of past attacks, and arguably the slowness of australian authorities to take the issue sufficiently seriously, means that just a single serious incident such as this has the hindustan times reporting that, "indian government officials 'will be forced' to issue a (travel) advisory in the form of a warning to those who want to work and study down under, if the (australian) authorities there did not take stern action this time."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,774,312,389 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK