Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
uwezo na uendelevu wa utafiti wa ubora wa juu
capacity and sustainability of high quality research
Última atualização: 2018-10-12
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa njia gani unadhani dunia inaweza kutumia raslimali zake kwa uendelevu zaidi?
in what ways do you think that the world can use its resources more sustainably?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
“umawazo mgando wao , umbumbumbu wa kukusudia na kujitia kwao kuwa wanyofu kulichochea tu uendelevu wa janga hili.
"their intellectual apathy, targeted myopia and general dis-ingenuousness played dangerously to help continue the pandemic.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
tukirudi nyuma mwaka 2005, mallika aryal katika renewableenergyaccess alitoa taarifa iliyohusu jitihada za nepal kuataka kuzalisha uendelevu na faida kupitia gesi inayotokana na samadi.
back in 2005, mallika aryal at renewableenergyaccess reported on nepal's quest to generate sustainability and revenue through biogas.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kadiresan pia alionyesha kwamba benki ya dunia inaguswa na ukweli kwamba si tu kuwa sera ya kilimo ya serikali inashindwa kuhakikisha uendelevu wa ukuaji wa sekta ya uchumi, lakini pia serikali haichukui hatua za kutosha kutengeneza ajira pamoja na kupunguza umasikini
kadiresan also indicated that the world bank is deeply concerned that not only does the government’s policy fail to ensure the long term sustainable growth of the agriculture sector, it also does very little to create jobs and reduce poverty.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
bill tipton alishiriki katika jukwaa lililojulikana kama habitat jam - ambalo nalo lilidumu mtandaoni kwa muda wa siku tatu mnamo mwaka 2005, lengo la tukio hilo lilikuwa ni kukusanya mawazo kuhusu uendelevu wa miji.
bill tipton took part in habitat jam - a three-day online event in 2005 to solicit ideas on urban sustainability.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
jinsi gani mataifa, jamii, jumuiya na familia zitakavyochukua hatua dhidi ya athari za mabadiliko ya hali ya hewa na namna mbalimbali ambazo dunia tayari imeshajihusisha nazo kwa namna nyingi zitatapelekea matarajio yao katika mafanikio ukuaji, usawa na uendelevu”.
how nations, societies, communities, and households respond to the impacts of climate changes and variability to which the world has already been committed will in many instances determine their prospects for growth, equity, and sustainability”.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: