Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
halafu yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo.
and he straitly charged them, and commanded them to tell no man that thing;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kisha akawaonya wanafunzi wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye kristo.
then charged he his disciples that they should tell no man that he was jesus the christ.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wazazi wake walishangaa, lakini yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
and her parents were astonished: but he charged them that they should tell no man what was done.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.
and he charged them that they should tell no man: but the more he charged them, so much the more a great deal they published it;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
walipokuwa wakishuka mlimani, yesu aliwakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoyaona, mpaka mwana wa mtu atakapokuwa amefufuka kutoka wafu.
and as they came down from the mountain, he charged them that they should tell no man what things they had seen, till the son of man were risen from the dead.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade: