Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
ni hakika hata hivyo, alivamiwa na watu wasiojulikana.
it is certain however, she was assaulted by strangers.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kama wasiojulikana, kumbe twajulikana kwa wote, kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni wazima kabisa.
as unknown, and yet well known; as dying, and, behold, we live; as chastened, and not killed;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
habari ni kwamba watu wasiojulikana waliichana chana quran, kitabu kitakatifu cha kiislamu, katika moja ya misikiti ya jiji hilo.
the story is that anonymous people tore up the quran, the holy book of islam, in one of the city's mosques.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
bassel alihamishwa kutoka gereza la adra kwenda kusikojulikana baada ya walinzi wasiojulikana wanahusiana na nani, walipokuja na kumtaka akusanye vitu vyake.
bassel was transferred from adra prison to an unknown location after a patrol, whose affiliation is not known, came to him and asked him to gather his things.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mzee wa kanisa anapaswa kuwa mtu asiye na hatia; aliye na mke mmoja tu, na watoto wake wanapaswa kuwa waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.
if any be blameless, the husband of one wife, having faithful children not accused of riot or unruly.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chama cha umma(pp), ambacho kiliahidi kuleta sheria ya uwazi kabla ya siku 100 za uongozi ambapo hadi sasa bado hakijaidhinisha sheria hiyo, taarifa za kiuchumi za chama hiki zimesambaa kwa mamia ya wafuatiliaji wasiojulikana.
the pp, which promised to submit a transparency law before the first 100 days of government but has still not formalised the legislation, has been exposed through the broadcasting of its financial management to the watchful eyes of hundreds of anonymous people.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: