Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
allah sendeth down water from the sky and therewith reviveth the earth after her death.
na mwenyezi mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
in the city the women gossiped: "the minister's wife longs after her page.
na wanawake wa mjini wakawa wanasema: mke wa mheshimiwa anamtamani mtumishi wake!
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
amin anvari’s mother added that she was silent for two weeks after her son’s arrest.
mama wa amin anvari aliongeza kwamba amekuwa kimya kwa majuma mawili baada ya kukamatwa kwa kijana wake.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
four months after her mysterious disappearance, the family decided to contact authorities, but the only response that they got was silence.
miezi minne ya kutoweka kiajabu, familia iliamua kuwasiliana na mamlaka zinazohusika, lakini majibu pekee waliyoyapata ni kimya.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
he bringeth forth the living from the dead, and he bringeth forth the dead from the living, and he reviveth the earth after her death.
hukitoa kilicho hai kutokana na kilicho kufa, na hukitoa kilicho kufa kutokana na kilicho hai. na huihuisha ardhi baada ya kufa kwake.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
eight days after her arrest, ghazzawi was charged with a list of crimes - refuted by the blogging community and described as a farce.
siku nane baada ya kukamatwa, ghazzawi alishtakiwaorodha ndefu ya mashtaka - yaliyopingwa na jumuiya ya wanablogu na kuyaelezea kama mchezo wa kuigiza.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
look, therefore, at the prints of allah's mercy (in creation): how he quickeneth the earth after her death.
basi ziangalie athari za rehema ya mwenyezi mungu, jinsi anavyo ihuisha ardhi baada ya kufa kwake.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
and of his signs is this: he showeth you the lightning for a fear and for a hope, and sendeth down water from the sky, and thereby quickeneth the earth after her death.
na katika ishara zake hukuonyesheni umeme kwa kukutieni khofu na tamaa. na hukuteremshieni maji kutoka mbinguni, na kwa hayo huifufua ardhi baada ya kufa kwake.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.