Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
since there are many ethnic groups in east africa, they are foods of different types. the types of food match the area where people live. for example, people who live near a lake or sea eat fish in abundance. people who breed animals like cows and goats love to eat meat. in this section, you will learn about the favorite foods of the people of east africa.
kwa vile kuna makabila mengi katika afrika mashariki, navyo vyakula ni vya aina tofauti tofauti. aina za chakula hulingana na eneo wanakoishi watu. kwa mfano, watu wanaoishi karibu na ziwa au bahari hula samaki kwa wingi. watu wanaofuga wanyama kama ng’ombe na mbuzi hupenda kula nyama. katika fungu hili, utajifunza kuhusu vyakula wanavyovipenda watu wa afrika ya mashariki.
Последнее обновление: 2022-10-18
Частота использования: 1
Качество:
Источник: