Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
teah abdullah lists 5 issues brunei citizens need to discuss: upholding a realistic language, incest, overindulgence, excessive number of burger joints, and overdependence on the government.
teah abdullah anaorodhesha masuala matano ambayo raia wa brunei citizens wanahitaji kuyajadili: kuimarisha lugha halisi, ngono baina ya ndugu wa damu, maisha ya anasa, ulaji unaozidi kiwango wa "baga" , utegemezi uliopitiliza kwa serikali.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
across five arab states a new and closely co-ordinated campaign to boycott american goods is being launched, with starbucks coffee shops their primary target, but with nestlé, coca-cola, johnson & johnson and burger king outlets also on the list.
katika nchi tano za kiarabu kampeni mpya na nyeti iliyoratibiwa ili kususia bidhaa za kimarekani imezinduliwa, na migahawa ya kahawa ya starbucks ndio shabaha yake ya kwanza, ikifuatiwa kwenye orodha hiyo na maduka ya nestlè, coca-cola, johnson & johnson pamoja na burger king.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование