Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
why are there only 4 candidates when there are about 18 contesting?
kwa nini kuna wagombea wanne tu wakati wapo wapatao 18 wanaogombea?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
there is a final push by political parties contesting the upcoming elections in south africa.
vyama vya siasa nchini afrika ya kusini vimo katika hatua za mwisho za kampeni ya uchaguzi ujao.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
more than 9000 candidates from over a 100 parties are contesting in this election, and for the first time in the country's modern history, tunisians cannot predict which parties will win.
zaidi ya wagombea 9,000 kutoka vyama zaidi ya 100 wanagombea kwenye uchaguzi huu, na kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, wa-tunisia hawawezi kubashiri chama gani kitashinda.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
first is the fact that one of the key political parties contesting in the elections is the ruling party, the democrartyic progerssive party (dpp), that was never ever eleected by the electorate for it to be in power.
kwanza ni ukweli kwamba mmoja wapo ya vyama muhimu kabisa vya siasa vinavyogombea katika uchaguzi huu ni chama tawala, dpp, ambacho hakikuwahi kamwe kuchaguliwa na wananchi kutwaa madaraka.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: