Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
but we are also seeing the damaging effects of aggressive industrialisation on our islands.
lakini pia tunashuhudia madhara mabaya ya maendeleo ya haraka kwenye nyanja za viwanda katika visiwa vyetu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
are umbrellas really more damaging to the city's image than armed police holding huge tear gas cannons?
hivi kweli miamuvuli inaharatibu sura ya jiji kuliko polisi waliobeba silaha na mabomu ya kutoa machozi?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
a thread soon emerged on twitter alleging an attempt to distract the local audience from damaging scandals concerning his own liberal party colleagues at the independent commission of corruption in new south wales.
mambo yaliwaka kwenye mtandao wa twita ambapo uzi unaohusiana na matamshi hayo ulianzishwa kumtuhumu kujaribu kuhamisha welekeo wa mjadala kufuatia kashfa mbaya kuhusu jamaa zake wa chama cha liberal wanaokabiliwa na mashitaka mbele ya tume huru ya ufisadi huko new south wales.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
sa sucks takes the vuvuzela debate to a totally new ground by arguing that apart from the possibility of damaging one's hearing, the instrument might spread hiv/aids!
sa sucks anayapeleka mbali zaidi mabishano ya vuvuzela kwenye uwanja mwingine kabisa akitoa hoja kwamba mbali na uwezekano wa kuharibu masikio ya mtu, chombo hiki kinaweza kusambaza vvu/ukimwi!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
these are their opinions and, by and large, are no more toxic or damaging to the environment than my mother’s belief that all men are inherently lazy and my father’s belief that all women give terrible advice.
haya ni maoni yao na, kwa kiasi kikubwa, hayana sumu wala hayaathiri mazingira ukiachilia imani ya mama yangu kwamba wanaume wote ni wavivu na ile ya baba yangu kwamba wanawake wote hutoa ushauri usio na kichwa wala miguu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: