Вы искали: founder (Английский - Суахили)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

English

Swahili

Информация

English

founder

Swahili

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Английский

Суахили

Информация

Английский

the founder of the vineyard

Суахили

mwanzilishi wa mpesa

Последнее обновление: 2020-02-12
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

global voices online founder ethan zuckerman chimes in:

Суахили

muasisi wa global voices online ethan zuckerman alikuwa na maoni yafuatayo:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

the founder of modern turkey, mustafa kemal atatürk, died there in 1938.

Суахили

mbunifu wa uturuki ya kisasa, mustafa kemal atatürk, alifariki akiwa kwenye kasri hili mwaka 1938.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

al-maleh is also a co-founder of the syrian human rights society.

Суахили

al-maleh pia ni mwanzilishi mwenza wa jumuiya ya haki za binaadamu ya syria.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

founder of banned militant group in pakistan offers aid to u.s. · global voices

Суахили

mwanzilishi wa kikundi cha kijeshi kilichofutwa nchini pakistani ajitolea kuisaidia marekani.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

anas tawileh, founder of meedan, presented on the arabic-english crowd translation project.

Суахили

anas tawileh, mwanzilishi wa meedan, aliwasilisha mada kuhusu mradi wa watumiaji wa kutafsiri kiingereza-kiarabu.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

maria sarungi tsehai, a communications expert and founder of the organisation change tanzania, asked:

Суахили

maria sarungi tsehai, mtaalam wa mawasiliano na muasisi wa taasisi ya change tanzania , aliuliza:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

among them is famous film critic pablo villaça, founder of cinema em cena, the oldest movie website in brazil.

Суахили

mmoja wao ni mchambuzi maarufu wa filamu pablo villaça, mwanzilishi wa cinema em cena, tovuti ya filamu ya muda mrefu nchini brazil.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

known as the mastermind behind the 2008 mumbai attacks, the jud founder also carries a $10million us bounty on his head.

Суахили

akijulikana kama muongozaji mkuu wa mashambulizi ya mumbai ya mwaka 2008, mwanzilishi wa jud pia alitoa msaada wa dola milioni 10 za kimarekani .

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

according to endalk chala, co-founder of the blogging group, abel had suffered poor treatment even before his arrest.

Суахили

kwa mujibu wa endalk chala, mmoja wa aanzilishi wa kundi hili la ku-blogu, abel amekuwa akipata tendwa visivyo hata kabla ya kukamatwa kwake.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

prime minister najib razak, the most prominent and active social media user in malaysia, posted a photo of his meeting with facebook founder mark zuckerberg.

Суахили

waziri mkuu najib razak, mtumiaji mkubwa na maarufu wa mitandao ya kijamii nchini malaysia, ameweka picha inayomwonyesha akiwa na mwanzilishi wa facebook mark zuckerberg.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

co-founder ethan zuckerman explains how global voices came to be, what happens at the summits, and what he thinks the future holds.

Суахили

mwanzilishi mwenzaethan zuckerman anaelezea namna sauti za dunia zilivyozaliwa, kile ambacho hufanyika katika mikutano hii, na kile anachofikiri kuwa mustakabali wa jumuiya hii.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

as some of you might already know, it has been nearly a month since hamed saber our dear friend and artist and the founder of iranian group on flickr has been arrested for no apparent reason.

Суахили

kama ambavyo baadhi yenu pengine tayari mnafahamu, karibu mwezi mzima umepita tangu hamed saber, rafiki yetu kipenzi, na mwanasanaa na mwanzilishi wa kundi la irani la flickr, akamatwe pasipo sababu zilizo bayana.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

in a five-minute youtube video peter eigen, the founder of transparency international, describes the important role of civil society in fighting corruption and improving governance:

Суахили

katika video ya dakika tano ya youtube peter eigen, mwanzilishi wa transparency international, anaeleza jukumu muhimu la jamii za kiraia katika kupigana na rushwa na kuboresha utawala:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

esther ibanga, a pastor in the town of jos and a founder of a group called women without walls, says she would have hoped the world would have paid more attention to the boko haram assault that took hundreds, perhaps thousands of nigerian lives.

Суахили

esther ibanga, mchungaji wa mji wa jos na mwanzilishi wa kikundi kiitwacho wanawake wasio na mipaka, anasema alitegemea dunia ingetazama kwa uzito ugaidi unaofanywa na kikundi cha boko haram kinachochukua mamia, na pengine maelfu ya maisha ya wa-naijeria.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

a nigerian christian author, preacher, founder and presiding bishop of living faith church world wide also known as winners chapel and its affiliated international churches known as winners chapel international, with headquarters in ogun state, nigeria.

Суахили

(david oyedepo) ni mwandishi wa vitabu vya kikristo nchini naijeria, mhubiri, mwasisi na askofu mkazi wa kanisa liitwalo “living faith church world wide” (tafsiri isiyo rasmi: kanisa la imani hai ulimwenguni) linalojulikana pia kama winners chapel (kanisa la washindi) na lililoanzisha makanisa yaliyoenea duniani kote yajulikanayo kama winners chapel international, yenye makao yake makuu kwenye jimbo la ogun , nchini naijeria.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Английский

the self made women billionaires in the food business include marian ilitch ($2.7 billion) who had her small beginning with a single pizza shop, and has now expanded to the global pizza franchise little caesar’s pizza; marian bayoff ilitch (born january 7, 1933) is an american billionaire businesswoman, and the co founder of little caesars pizza with her late husband, mike ilitch. as of march 2018, ilitch was one of the world's seven richest women, according to bloomberg. she was born in 1933[

Суахили

binafsi alifanya wanawake mabilionea katika biashara ya chakula ni pamoja na marian ilitch ($ 2.7 bilioni) ambaye alikuwa mwanzo wake mdogo na duka moja pizza, na sasa kupanua kwa pizza franchise kimataifa little kaisari pizza; marian bayoff ilitch (aliyezaliwa januari 7, 1933) ni marekani mabilionea mfanyabiashara mwanamke, na mwanzilishi mwenza wa little caesars pizza na marehemu mume wake, mike ilitch. kufikia machi 2018, ilitch alikuwa mmoja wa wanawake saba matajiri zaidi ulimwenguni, kulingana na bloomberg. alizaliwa mwaka wa 1933. [1]

Последнее обновление: 2022-04-20
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,770,568,653 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK