Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
every year we enjoy the annual service report given to us from the governing body.
kila mwaka tunafurahiya ripoti tuliyopewa kutoka kwa baraza linaloongoza.
Последнее обновление: 2020-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
trump made the decision under provisions of the national emergencies act, amongst other governing authorities.
trump alifanya uamuzi chini ya kanuni za sheria ya kitaifa ya dharura, miongoni mwa mamlaka nyingine tawala.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
a regime which can not provide oxygen for its citizens claim to export its way of governing to the whole world.
serikali isiyoweza kuhakikisha watu wake wanapata hewa ya oxygen ya kutosha ndiyo hii inayojigamba kuonesha mfano wa kuigwa wa kiutawala ulimwenguni kote.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
with relevant examples, explain six dysfunction of strategies provided by max weber's bureaucratic model in governing educational institution
ukiwa na mifano inayofaa, fafanua kuharibika kwa mikakati sita iliyotolewa na modeli ya urasimu wa kiwango cha juu cha weber katika taasisi ya elimu
Последнее обновление: 2021-06-14
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
fifa, the international body governing football, also disagreed with jonathan's decision, and gave him a week to reverse it.
fifa, the international body governing football, also disagreed with jonathan's decision, and gave him a week to reverse it.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
they also belong to the same governing party, and niyombare was both ambassador to kenya and intelligence chief, a post he was dismissed from earlier this year.
zote wako kwenye serikali ya chama hicho hicho, na niyombare alikuwa balozi wa kenya na mkuu wa ujasusi, nafasi ambayo alinyang'anywa mwaka huu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
despite the recent arrests of fifa officials due to indictments laid by the us department of justice, the world football governing body has said that its elections, which it calls the 65th fifa congress, will continue as scheduled today.
pamoja na kutiwa nguvuni kwa maafisa kadhaa wa fifa kufuatia mashitaka yaliyofunguliwa na wizara ya sheria ya marekani, chombo hicho kinachosimamia kandanda duniani kimesema kwamba uchaguzi wake, ambao utaunda baraza la 65 la fifa, utaendelea kama ulivyopangwa hivi leo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
a governing saeunri party lawmaker is under fire for wrongfully accusing a victim's parent of being an outsider "who wants to stir up turmoil and grudges against the government".
mbunge wa chama tawala cha saeunri yuko kikaangoni kwa kumtuhumu kimakosa mzazi wa mmoja wa wahanga wa ajali hiyo kuwa mtu asiyehusika 'anayetaka kuchochea tu hasira dhidi ya serikali'.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
#twitter blocked in #turkey tonight. folks are painting #google dns numbers onto the posters of the governing party. pic.twitter.com/9vq7ntgoto — engin onder (@enginonder) march 21, 2014
mtandao wa twita umefungiwa leo nchini uturuki, jamaa wanatengeneza huduma ya dsn ya google kwenye mabango ya chama tawala
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: