Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
allah gives manifold increase to whom he pleases.
katika kila shuke zimo punje mia.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
those who deny our signs are deaf and dumb, in a manifold darkness.
na walio kanusha ishara zetu ni viziwi na mabubu waliomo gizani.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
call not to-day for a single death but call for death manifold.
msiombe kufa mara moja tu, bali mfe mara nyingi!
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
who shall not receive manifold more in this present time, and in the world to come life everlasting.
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na kupokea uzima wa milele wakati ujao."
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
allah giveth manifold increase to whom he pleaseth: and allah careth for all and he knoweth all things.
na mwenyezi mungu humzidishia amtakaye, na mwenyezi mungu ni mwenye wasaa na mwenye kujua.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
allah giveth increase manifold to whom he will. allah is all-embracing, all-knowing.
na mwenyezi mungu humzidishia amtakaye, na mwenyezi mungu ni mwenye wasaa na mwenye kujua.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
but what you pay as zakat seeking allah’s pleasure—it is they who will be given a manifold increase.
lakini mnacho kitoa kwa zaka kwa kutaka radhi ya mwenyezi mungu, basi hao ndio watao zidishiwa.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
likewise allah develops manifold the charity of anyone he pleases, for he is all-embracing, all-wise.
na mwenyezi mungu humzidishia amtakaye, na mwenyezi mungu ni mwenye wasaa na mwenye kujua.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
who is he that will lend unto allah a goodly loan, so that he will multiply it unto him manifold and allah scanteth and amplifieth, and unto him ye shall be returned.
ni nani atakaye mkopesha mwenyezi mungu mkopo mwema ili amzidishie mzidisho mwingi, na mwenyezi mungu hukunja na hukunjua. na kwake yeye mtarejea.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
their parable is that of one who lighted a torch, and when it had lit up all around him, allah took away their light, and left them sightless in a manifold darkness.
mfano wao ni kama mfano wa aliye koka moto, na ulipo tanda mwangaza wake kote kote mwenyezi mungu aliiondoa nuru yao na akawawacha katika giza, hawaoni.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
is he who was lifeless, then we gave him life and provided him with a light by which he walks among the people, like one who dwells in a manifold darkness which he cannot leave?
je, aliye kuwa maiti kisha tukamhuisha, na tukamjaalia nuru inakwenda naye mbele za watu, mfano wake ni kama aliyoko gizani akawa hata hawezi kutoka humo?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
o ye mankind! fear your lord; who created you of a single soul and he created the reef the spouse thereof, and of the twain he spread abroad men manifold and women.
mcheni mola wenu mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
who is there among you who will lend to allah a good loan that he may return it after multiplying it manifold? allah alone can decrease and increase (wealth) and to him you shall all return.
ni nani atakaye mkopesha mwenyezi mungu mkopo mwema ili amzidishie mzidisho mwingi, na mwenyezi mungu hukunja na hukunjua. na kwake yeye mtarejea.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
allah has revealed the best teaching, a self-consistent book which repeats its contents in manifold forms whereat shiver the skins of those that hold their lord in awe, and then their skins and their hearts soften for allah's remembrance.
mwenyezi mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu mola wao mlezi. kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka mwenyezi mungu.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество: