Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
reproductive age
viungo vya uzazi
Последнее обновление: 2022-05-05
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
herbal medicine and reproductive health
herbal medicine and reproductive health
Последнее обновление: 2023-08-23
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
the female reproductive organ seems all but banned from social networks, even in the case of a reproduction of gustave courbet's famous 1866 painting the origin of the world.
via vya kike vinaonekana kuwa ndiyo michoro inayoongoza kupigwa marufuku kwenye mitandao ya kijamii, hata kwenye sanaa ya mchoro maarufu wa gustave courbet wa mwaka 1866 unaojulikana kama the origin of the world. .
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
in some, the disease may progress to pneumonia, multi-organ failure, and death.
katika visa vingine, ugonjwa unaweza kuendelea kuwa nimonia, viungo anuwai kutofanya kazi na kifo.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
even the youth who go to school have minimal information about hiv, as such reproductive health issues are not taught in liberian schools.
hata vijana wanaokwenda shule wana taarifa kidogo sana kuhusu vvu, kama mfano masuala ya afya ya uzazi hayafundishwi kabisa katika shule za liberia.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
rape is a beating, a form of abuse, that just happens to be carried out using a sexual organ instead of a fist.
ubakaji ni kupiga, namna ya uonevu, ambao unafanyika kwa kupitia kiungo cha ngono badala ya ngumi.
Последнее обновление: 2024-03-21
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
serious complications include pneumonia, acute respiratory distress syndrome, and multi-organ failure leading to disability or death.
matatizo makubwa ni pamoja na nimonia, matatizo sugu ya upumuaji, na kushindikana kwa viungo vingi kunaosababisha ulemavu au kifo.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
second period of the government of alberto fujimori; it was implemented the national program on reproductive health and family planning policy aimed at reducing the overall fertility rates.
kipindi cha pili cha serikali ya alberto fujimori; sera ya taifa ya afya ya uzazi na uzazi wa mpango ilitekelezwa sera hiyo ilikusudia kupunga kasi ya uzazi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
study after study shows that girls subjected to sexual activity at such early ages suffer not only damage to their still-developing reproductive systems, but also lasting psychological trauma.
tafiti baada ya tafiti zinaonyesha kuwa wasichana wanaofanyishwa vitendo vya ngono katika umri wa mapema hivyo hupata madhara si tu katika mfumo wao wa uzazi ambao bado unakua, lakini pia hupata athari za kisaikolojia za muda mrefu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
the hong kong hospital authority found a drop of 20% to 30% in lung capacity in some people who recovered from the disease, and lung scans suggested organ damage.
mamlaka ya hospitali ya hong kong ilipata kuwa kiwango kilishuka na kuwa asilimia 20 hadi 30 katika uwezo wa mapafu kwa watu waliopona ugonjwa huo, vipimo vya mapafu vilionyesha uharibifu wa ogani.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
some families give all the meat to those in need, while some (like my host family) eat every last organ, and have enough meat to last them for 2 or more months.
familia nyingine hutoa nyama yote kwa wale wenye uhitaji, wakati wengine (kama famialia yangu ya kufikia) hula mpaka kiungo cha mwisho, na hubaki na nyama itakayowatosha kwa miezi miwili au zaidi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
body organs
viungo vya mwili
Последнее обновление: 2022-02-13
Частота использования: 1
Качество:
Источник: