Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
erat autem non longe ab illis grex porcorum multorum pascen
karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Последнее обновление: 2012-05-04
Частота использования: 1
Качество:
sed accessistis ad sion montem et civitatem dei viventis hierusalem caelestem et multorum milium angelorum frequentia
lakini ninyi mmefika katika mlima wa sioni, kwenye mji wa mungu aliye hai. mmefika yerusalemu, mji wa mbinguni, ambapo wamekusanyika malaika elfu nyingi wasiohesabika.
Последнее обновление: 2012-05-04
Частота использования: 1
Качество:
sic et christus semel oblatus ad multorum exhaurienda peccata secundo sine peccato apparebit expectantibus se in salute
vivyo hivyo kristo naye alijitoa dhabihu mara moja tu kwa ajili ya kuziondoa dhambi za wengi. atakapotokea mara ya pili si kwa ajili ya kupambana na dhambi, bali ni kwa ajili ya kuwaokoa wale wanaomngojea.
Последнее обновление: 2012-05-04
Частота использования: 1
Качество:
erat autem ibi grex porcorum multorum pascentium in monte et rogabant eum ut permitteret eos in illos ingredi et permisit illo
kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha mlimani. basi, hao pepo wakamsihi awaruhusu wawaingie. naye yesu akawapa ruhusa.
Последнее обновление: 2012-05-04
Частота использования: 1
Качество:
et benedixit illis symeon et dixit ad mariam matrem eius ecce positus est hic in ruinam et resurrectionem multorum in israhel et in signum cui contradicetu
simeoni akawabariki, akamwambia maria mama yake, "mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea na kuokoka kwa watu wengi katika israeli. naye atakuwa ishara itakayopingwa na watu;
Последнее обновление: 2012-05-04
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование