Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ramani ikionyesha adhabu zilizokusudiwa kwa mashoga na wasagaji nchini afrika.
a map showing penalties targeting gays and lesbians in africa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mistari myekundu ikionyesha majengo ambayo huziba minara ya misikiti ambayo ni alama muhimu ya jiji la cairo inayopotea kwa ujenzi mpya unaondelea.
the red lines show buildings which obscure the minerats of mosques which is a signature of the cairo horizon being lost to new development
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hata hivyo, ishara za matumaini zimetokea nchini china kwa msingi wa kupungua kwa idadi ya visa vipya, hii ikionyesha kwamba mikakati ya sasa huenda imekuwa ikifanya kazi.
however, promising signs have occurred in china based on the declining number of new cases, indicating the current strategies might have been working.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
hata mwezi umekuwa mwekundu hapa gaza usiku wa leo mpiga picha jehad saftawi anatuma picha kutoka kwenye mpaka wa gaza, ikionyesha kuanza kwa operesheni hiyo: shambulio la ardhini linalofanywa na israeli limeanza kwenye ukanda wa gaza, hapa kwenye mpaka wa gaza
even the moon is red in gaza tonight... #gazaunderattack pic.twitter.com/etgqgkyytx — فلسطين i (@ifalasteen) july 17, 2014
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"washindi" wengine katika uchukuaji taarifa za matukio hayo ni blogu za ndani ya nchi kama vile namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (vilevile tovuti za habari za kawaida ama vile internews.kg, neweurasia.net na 24.kg), jukwaa la diesel.elcat.kg na kamera ya mtandaoni isiyotoa maneno (webcam) ikionyesha viwanja vya wazi vya ala-too (picha zake zilinaswa na kutumwa na wanablogu wengi).
another "winners" in the coverage are the local blog-portals namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (as well as traditional news sites like internews.kg, neweurasia.net and 24.kg), forum diesel.elcat.kg and a wordless webcam showing ala-too square (its screenshots were captured and transmitted by many bloggers).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование