Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mtangazaji wa runinga, cao baoying anafikiri kuwa sheria hii imeanzishwa kama namna ya serikali ya kukwepa wajibu wake:
tv host cao baoying thought that the law is a way for the government to avoid its own responsibility :
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
sheria hii imeanzishwa kufuatia idadi kubwa ya watu wa china kuonekana kuwa na umri mkubwa na hii inatokana na sera ya kuzaa mtoto mmoja tu.
the law is designed as china's population ages rapidly due to the one-child policy.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hossein ronaghi malki mwanablogu anayetumikia kifungo cha miaka 15 jela alianza mgomo wake wa kutokula kuanzia wiki iliyopita. kwenye mtandao wa facebook kampeni imeanzishwa yenye lengo la kummwuunga mkono.
hossein ronaghi malki a jailed blogger who is serving a 15-year sentence in prison started his hunger strike last week.a facebook campaign has been launched to support him.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli hii yao imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.
and now i say unto you, refrain from these men, and let them alone: for if this counsel or this work be of men, it will come to nought:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
ikiwa imeanzishwa na mamlaka kadhaa za kiserikali, maktaba dijitali ya elimu ya tiba za jadi ufilipino (tkdl-health) inalenga kuweka kumbukumbu na kufanya masuala ya tiba za jadi kuwa za kidijitali nchini humo.
initiated by several government agencies, the philippine traditional knowledge digital library on health (tkdl-health) seeks to document and digitize indigenous health practices in the country.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: