Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hakuna kilichokuwa muhimu zaidi ya kuwaenzi marehemu hao.
nothing was more important than that ritual for the dead.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini tatizo muhimu zaidi sasa ni maumivu haya ya kifua
but a more important problem now is this chest pain
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
matukio muhimu zaidi yalitokea tarehe 7 aprili huko bishkek.
the most important events happened on april 7 in bishkek.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kuna mambo mengi ya kufanya kwetu sisi sote, sisi sote tutalenga miradi muhimu zaidi.
there’s plenty to do for all of us, we just will all focus on the most essential projects.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
hii lazima kufanyika katika ngazi ya kitaifa na muhimu zaidi, katika ngazi za mitaa
this should be done at the national level and most importantly, at the local level
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nchi yangu na watu wke, usalama wao ni muhimu zaidi kuliko tamaa za kuridhisha nafsi kwa wanasiasa
my country & her people & their safety are more important than egos, megalomaniacs & politics. #mytribeissouthsudan #ichoosepeace — aguil lual blunt (@aguilb) december 20, 2013
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
lililo muhimu zaidi, bado kuna abiria waliokwama kwenye ndege iliyokuwa kwenye njia ya kutua ndege.
flight operations are suspended at #jinnah international airport of #karachi after escalating security issues.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
bado hawajui kwamba utamaduni wa muhimu zaidi ni ule ulio wa kufanya ukosoaji wa kujenga na kuruhusu fikra huru.
they still don't get it that the most important culture is the culture of constructive criticism and free expression.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
zaidi ya hayo, inaonekana kwamba sehemu zile za mwili zinazoonekana kuwa ni dhaifu ndizo zilizo muhimu zaidi.
nay, much more those members of the body, which seem to be more feeble, are necessary:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
leo hii, simu za mkononi ni teknolojia ya muhimu zaidi kwa wakimbizi ili kuweza kuwapata ndugu na kuendelea kuwasiliana nao.
today, mobile phones are the most important technology for refugees to find relatives and remain in contact.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kilicho muhimu zaidi, tafadhali sambaza ujumbe kwa watu wako, kupitia mitandao ya kijamii na namna yoyote unayoona inafaa!
most important, please spread the word in your global circles, social networks and anywhere you deem fit!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini lililo muhimu zaidi, mashujaa hao walisimama na ujumbe wao ulisikika vyema na kwa ufanisi: hawakuwa wakileta vurugu wala kupambana.
but most importantly, the warriors stood tall and their message was heard loud and clear: they are not drowning, they are fighting.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
muhimu zaidi, serikali haina haja ya kununua simu kwa ajili ya wakulima kwa sababu wale kati yao ambao wanaweza kutumia simu hizo, tayari wanazo.
more importantly, the government does not need to buy telephones for farmers because those among them who could use such phones, already have them.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na lililo muhimu zaidi, je litachukua hatua sasa ili wazee wajisikie kujaliwa, kupendwa na hata kujisikia kuhitajika katika kipindi ambacho kwao ni kama jua linazama?
and more importantly, will they take action now so that the elderly feel cared for, loved and wanted in the sunset years of their lives?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hivyo ni muhimu zaidi kutoa seli za b kutoka kwa wagonjwa waliopona na kutambua misimbo ya kijenetiki inayosimbua antibodi faafu au kuchunguza kutafuta antibodi faafu dhidi ya protini muhimu ya virusi.
thus, it is more critical and practical to isolate b cells from recovered patients and identify the genetic codes encoding effective antibodies or screen for effective antibodies against essential proteins of the virus.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
mkanganyiko huu mara nyingine umefanya iwe vigumu kwa watetezi wa uhuru wa kujieleza wa mtandaoni kuja na mkakati na ushirikiano wa kuwatetea wanablogu na wanaharakati wa mtandaoni, lakini haikutokea kuwa ni muhimu zaidi kujaribu.
this confusion has sometimes made it hard for online free speech advocates to come up with a good strategies and partnerships to defend bloggers and online activists, but it has never been more important to try.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo la pili, na muhimu zaidi, rais tandja aliwakasirisha wa-niger wengi wakati alipuvunja bunge na kusimika mageuzi ya kikatiba ambayo yalimpa nguvu kubwa zaidi huku kukiwa na udhibiti mdogo.
mass starvation is never a stabilizing force. second, and more importantly, president tandja had angered many nigeriens in 2009 when he dissolved parliament and enacted constitutional reforms that gave him broad powers with few checks or balances.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
anasema: "kuchaguliwa kwangu ni muhimu zaidi kwangu, maanake, kwa hekima yenu hamujawahi kuunda viti maalumu vya kirangi, vya kikabila, wala vya kidini (...)
he states: "my election feels even greater to me because you had the wisdom to never introduce a racial, ethnic or religious quota for admission (...)
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
kukamatwa kwa pu na wengine ni tangazo muhimu zaidi kwenye maadhimisho ya miaka 25 na kwa kweli litavutia macho ya watu kuliko serikali inavyodhani. — maya wang 阿莲 (@wang_maya) may 6, 2014
detention of pu and others r the best ads for the 25th anniversary & is attracting exactly the kind of attention the authorities don't want. — maya wang 阿莲 (@wang_maya) may 6, 2014
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
watu walipiga kura, na kusubiri ili washuhudie kuhesabiwa na kupangwa kwa kura; vituo vya habari vilirusha matangazo ya moja kwa moja ya uchaguzi wakati unaendelea, na muhimu zaidi, vijana walielekeza zoezi zima kwa mafuriko ya taarifa zilizopatikana kwa njia ya twita, facebook na ujumbe wa blackberry.
people voted, and waited behind to witness the counting and collation of votes; media stations ran a live coverage of the elections while it lasted, and very importantly, young people influenced the exercise with the flood of information available via twitter, facebook and blackberry messaging.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: