Спросить у Google

Вы искали: kuchomwa (Суахили - Английский)

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

Dave Wahamiaji wabaguzi watalaumiwa kwa ajili ya Muhindi kuchomwa.

Английский

Dave Racist immigrants will be blamed for the fatal stabbing of an Indian man

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Mashambulizi hayo yalihusisha watu kupigwa, kuuawa, kuchomwa moto, wizi madukani pamoja na wizi wa mali za wahamiaji.

Английский

The attacks involved beatings, killings, and burning and looting shops and property owned by foreigners.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Siku ya Ijumaa makanisa mawili katika kijiji cha Mallawi, jimbo la Minya, yalishambuliwa na kuchomwa moto.

Английский

Friday two churches in the village of Mallawi, a village in the province of Minya, were attacked and set on fire.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Wasia huo umekuja siku tatu baada ya mhitimu wa shahada ya uhasibu Nitin Garg kuchomwa kisu mpaka kufa, kifo cha kwanza katika mashambulizi hayo.

Английский

The advisory came three days after accounting graduate Nitin Garg was knifed to death, the first fatality in the attacks.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

David Degner aweka picha kutoka makanisa yaliyoshambuliwa na kuchomwa katika sehemu iitwayo Mallawi, Minya, Misri ya Juu hapa.

Английский

David Degner shares photographs from the mobbed and burned churches in Mallawi, Minya, in Upper Egypt here.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Baada ya kuwepo kwangu katika mji huu wa amani, taarifa za habari kuhusu mapigano na mauaji na kuchomwa moto nyumba za watu haziingii akili mwangu.

Английский

After my experience in this peaceful town, the news reports about the fighting and killing and burning of homes is unbelievable to me.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari, nyumba ambayo washia waliyokuwa kikikutania huko Giza, jijini Cairo, ilishambuliwa na kuchomwa moto.

Английский

According to various reports, the house the Shia were meeting in, in Giza, Cairo, was attacked and burned.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Lakini kama ardhi hiyo ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.

Английский

But that which beareth thorns and briers is rejected, and is nigh unto cursing; whose end is to be burned.

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Acheni vikue pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji: kusanyeni kwanza magugu mkayafunge mafungumafungu ya kuchomwa. Lakini ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu."

Английский

Let both grow together until the harvest: and in the time of harvest I will say to the reapers, Gather ye together first the tares, and bind them in bundles to burn them: but gather the wheat into my barn.

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

Hatimaye, haki imetolewa katika shauri la Marwa El-Sherbini, mwanamke wa Kimisri aliyeuwawa kwa kuchomwa visu na muhamiaji mwenye asili ya Urusi-na-Ujerumani ndani ya mahakama huko Ujerumani.

Английский

Finally, justice has been served in the case of Marwa El-Sherbini, the Egyptian woman who was stabbed to death inside a German courthouse by a Russian-German immigrant.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

Kufuatia kuchomwa kwa makanisa, msichana mdogo katika Misri ya Juu alichora picha hii iliyonifanya nitiririkwe na machozi: pic.twitter.com/iymw3SF49R — daliaziada (@daliaziada) Agosti 15, 2013

Английский

In reaction to burning churches, a little girl in Upper Egypt sketched this picture that brought tears to my eyes: pic.twitter.com/iymw3SF49R — daliaziada (@daliaziada) August 15, 2013

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
4,401,923,520 пользователей

Сейчас пользователи ищут:Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK