Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
maana tunaishi kwa imani, na si kwa kuona.
(for we walk by faith, not by sight:)
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
pamoja na maonyo, kufuata mkumbo wa siku ya wajinga kungesababisha hukumu ya moto wa milele kwa kuwa waislamu hawapaswi kudanganya, watumiaji wengi wa mtandaoni uarabuni kote, waliamua kuzikosoa serikali zao siku hii.
despite warnings, that jumping on the april fool's bandwagon would lead to an eternal hell as muslims don't lie, many netizens across the arab world, decided to use the day to criticise their governments.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini kando na huzuni yake kubwa, wirriyamu pia anajisikia hasira kwa kuona kaskazini mwa mali inaendelea kutaabika tena kwa mashambulizi ya kigaidi.
but beside his immense sadness, wirriyamu also feels angry at seeing northern mali left helpless yet again to terrorists attacks.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jeshi moja likipigana katika njia ya mwenyezi mungu, na jingine kafiri likiwaona zaidi kuliko wao mara mbili, kwa kuona kwa macho.
one party fighting in the way of god, and the other was disbelieving. they saw them with their own eyes twice their number.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
hakika ilikuwa ni ishara kwenu katika yale majeshi mawili yalipo pambana. jeshi moja likipigana katika njia ya mwenyezi mungu, na jingine kafiri likiwaona zaidi kuliko wao mara mbili, kwa kuona kwa macho.
"there has already been for you a sign in the two armies that met (in combat): one was fighting in the cause of allah, the other resisting allah; these saw with their own eyes twice their number.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
kwa kuona hayo, caridad caballero na mwanae eric sandez alishuka garini na kuanza kupingana na unyama huo, akiwaambia polisi hao kwamba kama wangemchukua esteban, basi ingebidi wawachua na wao (yeye na mwanae) pia.
upon seeing this, caridad caballero and her son eric sandez got off the car and began to protest against the arbitrariness, assuring the agents that if they were going to take esteban, then they’d have to them too.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.