Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hauwezi kulihamisha faili juu ya lenyewe.
you cannot move a file over itself.
Последнее обновление: 2014-08-15
Частота использования: 3
Качество:
hauwezi kulihamisha folida kuelekea kwenye lenyewe.
you cannot move a folder into itself.
Последнее обновление: 2014-08-15
Частота использования: 3
Качество:
jumba lenyewe lina mkusanyiko wa michoro kutoka roma na ulaya.
the museum has a collection of roman art and some european paintings.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na siku ya pambano lenyewe, hakuna kitu kinachoitwa kutokuwa na upande jijini dar.
on match day, there is no such thing in dar as a neutral.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wakati wa tukio lenyewe, kulikuwa na maonyesho ya ndege za kivita za nchi hiyo.
during the main event, there was a spectacular show by uganda's fighter jets.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo lenyewe lililochaguliwa -changamoto ya umeme barani afrika- linao umuhimu mkubwa.
the issue selected – africa’s electricity challenge – is clearly a vital one.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ama hakika, mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; na mungu ni mmoja.
now a mediator is not a mediator of one, but god is one.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
kwa mujibu wa kabwe songolo, vitendo vya serikali ya afrika kusini na fifa havipaswi kutupotezea mwelekeo wa kufurahia kandanda lenyewe:
according to kabwe songolo, the conduct of the south african government and fifa shouldn't detract from the fun of the sporting event itself:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa msaada wa msaidizi wa kongo shirika lenyewe, prince béni na maya, wote wakisumbuliwa na maradhi ya moyo walifanyiwa upasuaji kwa masaa kadhaa kama ripoti ifuatayo inavyosema :
with the help of the congo assistance fundation as well, prince béni and maya, both suffering from cardiomyopathy were operated for several hours as told in the following report :
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hata hivyo, kuna raia wa mtandao na wanablogu wengi pia ambao wanafurahia matokeo mazuri ya utekaji nyara, na kupongeza kazi ya wafanyakazi wa kujitolea na hata shirika lenyewe katika jamii yenye mazingira magumu kama yale ya wakimbizi.
nonetheless, there have also been many netizens and bloggers who are pleased with the happy outcome of the kidnapping, and praised the work of the volunteers and the organization in a community so vulnerable like that of the refugees.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
suala hili linatustua, si kwa sababu tu lina maana ya kutokufahamu yaliyosemwa na baadhi ya wabunge wa bunge la taifa, pamoja na unyeti wa suala lenyewe linapokuja suala la misingi ya kidemokrasia na hatua linazopasa kufuatwa katika utendaji bora wa bunge.
this issue alarms us, not only because it implies an alleged ignorance of the will expressed by several members of the national assembly of people's power, as well as how serious this could be in relation to the democratic principles and procedures that should apply to the parliament's ability to function.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ilhali kampeni la kony 2012 hakika limepata usikivu lililotaka, waganda na waafrika wengi wanaona kwamba ujumbe wake umekosa muktadha na maelezo sahihi kuhusu joseph kony. zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.
while the kony 2012 campaign certainly received the attention it sought, many ugandans and africans felt its message lacked the nuance required by context, and was more focused on raising funds for the organisation's own survival rather than empowering the people affected by the conflict.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
sisi tulio nje ya haiti tunaweza tu kujenga picha kichwani kuhusu hali halisi ya maisha ya kila siku yalivyo huko baada ya tetemeko baya la ardhi - lakini katikati ya juhudi za kuwatafuta wapendwa ndugu, juhudi za kuwahudumia waliojeruhiwa na jukumu zito na gumu la kuwafikishia msaada wa kiutu wale wanaouhitaji zaidi - wanablogu walio huko port-au-prince na maeneo ya jirani wanawasiliana na ulimwengu wa nje, ambao nao unahangaika kutaka kupata taarifa kutoka kwa wale waliokuwa katika eneo lenyewe kabisa la janga.
those of us outside of haiti can only imagine the stark reality of daily life in the earthquake's aftermath - but amidst attempts to find loved ones, efforts to administer to the wounded and the overwhelming task of getting relief to those who most need it - bloggers in and around port-au-prince are finding the time to communicate with the outside world, which is desperate for news from those closest to the disaster.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: