Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
likiwa na lengo la kukusanya saini 3,000, shirika la mujeresmundi limeanzisha madai ya mtandaoni kwenye jukwaa la change.org likiitaka serikali ya peru kujenga upya kumbukumbu ya kihistoria kwa sauti ya wahanga wa dawa za ugumba:
with the aim of collecting 3,000 signatures, the association mujeresmundi just launched a petition in the online platform change.org requesting the peruvian state a reconstruction of the historical memory in the voice of the victims of sterilizations:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nchini hong kong, wanafunzi katika shule wanakiri kwamba wanafunzi mashoga wanazomewa na kunyanyaswa, kwa hiyo kuna shirika limeanzisha kampeni ya kukuza uelewa wa suala hili, wakijikita zaidi kwenye kuandaa video zenye mahojiano na wanafunzi wenye mihemuko tofauti ya kimapenzi pamoja na wataalamu katika mada zinazohusika.
in hong kong, students in schools admit that homosexual students are bullied and discriminated, so an organization has spearheaded a campaign to raise awareness on this issue, focusing on producing online videos of interviews with sexually diverse students and experts on the topic.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: