Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
udhalimu
exploitation
Последнее обновление: 2020-02-04
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
na hakika mola wako mlezi ni mwenye msamaha kwa watu juu ya udhalimu wao.
but verily, your lord is full of forgiveness for mankind inspite of their wrong-doing.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
na hakika mola wako mlezi ni mwenye msamaha kwa watu juu ya udhalimu wao. na hakika mola wako mlezi ni mkali wa kuadhibu.
and indeed, your lord is full of forgiveness for the people despite their wrongdoing, and indeed, your lord is severe in penalty.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
bwana akamwambia, "ninyi mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.
and the lord said unto him, now do ye pharisees make clean the outside of the cup and the platter; but your inward part is full of ravening and wickedness.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
ndio maana sisi tunajivunia ninyi katika makanisa ya mungu. tunaona fahari juu ya jinsi mnavyoendelea kuamini na kustahimili katika udhalimu wote na mateso mnayopata.
so that we ourselves glory in you in the churches of god for your patience and faith in all your persecutions and tribulations that ye endure:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
na wanakuhimiza ulete maovu kabla ya mema, hali ya kuwa zimekwisha pita kabla yao adhabu za kupigiwa mfano. na hakika mola wako mlezi ni mwenye msamaha kwa watu juu ya udhalimu wao.
and they ask you to hasten on the evil before the good, and indeed there have been exemplary punishments before them; and most surely your lord is the lord of forgiveness to people, notwithstanding their injustice; and most surely your lord is severe in requiting (evil).
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini haumwingii na kuwa na mizizi ndani yake; huendelea kuuzingatia ujumbe huo kwa kitambo tu, na wakati taabu au udhalimu vinapotokea kwa sababu ya ujumbe huo, anakata tamaa mara.
yet hath he not root in himself, but dureth for a while: for when tribulation or persecution ariseth because of the word, by and by he is offended.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, madharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.
th i take pleasure in infirmities, in reproaches, in necessities, in persecutions, in distresses for christ's sake: for when i am weak, then am i strong.
Последнее обновление: 2014-03-26
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
inavyoonekana, kufuatia hali inayoendelea katika nchi za kiarabu, ni intaneti na ongezeko la matumizi ya vyombo vya habari vya kiraia, ndivyo vinavyobeba lawama kwa kuchochea mapinduzi yanayoendelea katika nchi za kiarabu na wala sio udikteta, udhalimu na uvunjifu wa haki za binadamu unaoendelea katika nchi hizo.
the internet and the rise of social media, and not dictatorship, injustice and lack of human rights, are blamed for fueling the arab spring.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: