Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
rais huyo anafahamika kwa kugomea midahalo ya hadharani tangu aanze kampeni, ukiacha mahojiano machache ya hapa na pale anayoyafanya na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali.
the president is known for refusing to take part in a public debate since starting his campaign, aside from a few interviews on state-supported media.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
akifanya kazi kama mwandishi wa habari mwandamizi, alijaribu kuonesha msimamo wake kwenye uandishi habari ulio na ubora ambao vyombo vya habari vinavyomilikiwa na taifa la ethiopia havikuwahi kuuonesha.
working as a senior reporter, she tried to inspire optimism about hihg-quality journalism that the ethiopian state media has rarely exhibited.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
tunaitaka serikali ya china kupiga marufuku biashara hiyo ya tembo ndani ya nchi hiyo, kuyafunga maduka yote yanayouza bidhaa za pembe za ndovu na kufunga viwanda 37 vinavyomilikiwa na serikali vinavyotengeneza bidhaa hizo nchini kote.
we also want the chinese government to ban its domestic ivory trade, to shut down the shops selling ivory products and to close down the 37 state-owned ivory carving factories across the country.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katika malaka moja ya blogu, iliyokuwa na kichwa cha habari “namna unavyoweza kuvumbua dini yako mwenyewe – mwangozo wa kihabeshi", aliandika makala ndefu ya dhihaka ya namna ambavyo vipindi kwenye vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali na harakati zao za kujaribu kupenyeza mfumo wa kidini wa aliyekuwa rais wa ethiopia hayati meles zenawi.
in his blog post, titled “how to create your own religion? – an ethiopian guide", he wrote a long satire on how state-run outlets broadcast programs in an effort to create a cult personality of the late former president meles zenawi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование